Mleta mada, kwa kiasi fulani naamini ya kwamba utakuwa una matatizo ya akili, siyo bure hata kidogo. Hivi unayafahamu mambo maovu kabisa ya mauaji ya dhulma yanayoendelea katika nchi zetu hizi za kiafrika, hususani nchi hii ya Tanzania? Unayajua kweli yanayoendelea nyuma ya pazia kuhusiana ishu hizi za mauaji, hasa mauaji ya kupangwa na ya kukusudia? Temea mate chini ndugu ndugu !! Ni bora ukakaa kimya, kuliko kuongea vitu ambavyo huvijui kwa undani.
Kwa taarifa yako, Mimi binafsi ni mtafiti (a researcher and an investigation expert), mambo yaliyopo yanatisha sana kupita kiasi. Itoshe tu kusema kwamba ADHABU YA KIFO ISIFUTWE TANZANIA, badala yake itekelezwe kikamilifu na kwa haraka kwa wale watu ambao Mahakama imethibitisha kwamba wanastahili kunyongwa hadi kufa, na pia "Wana sifa zote na vigezo vyote vya kutakiwa kunyongwa hadi kufa".
Aidha, nakujulisha ya kwamba "SOMA NYUZI ZANGU ZOTE NILIZOPOST HAPA KWENYE MTANDAO HUU WA JAMII FORUMS. Naamini utapata kitu cha kujifunza baada ya kusoma nyuzi hizo.