Mungu yupi mkuu?. Huyu Mungu anayetumia vibaka, majambazi, wezi, walevi na wazinzi waliojificha kutoa hukumu ya kifo kwa kupigwa mawe kwa wazinzi waliofuniwa?. Kama ni sheria ya Mungu, yeye mwenyewe ndo alipaswa atoe adhabu na sio sisi binadamu mana hata sisi ni wazinifu ila hatujafuniwa tukizini.Watu lazima wafe ili iwe fundisho kwa walio hai. Adhabu ya kifo Sio ya mwanadamu bali ni sheria kutoka kwa Mungu. Soma biblia na quran tukufu ujifunze. Na ukipingana na adhabu ya kifo unapingana na Mungu kulingana na imani yako.
Kuua au kuuliwaSheria za KIARABU KIISLAMU NDIO MAUAJI, VISASI NK
SHERIA YA MUNGU NI UPENDO.
UPENDO, UPENDO.
UKIWA NA UPENDO KWA WATU WALIO KARIBU HUWEZI KUUA.
KUUA NI TABIA YA KISHETANI.
Kwa hiyo hizo nyingine za wabakaji na wezi anatoa NaniMungu yupi mkuu?. Huyu Mungu anayetumia vibaka, majambazi, wezi, walevi na wazinzi waliojificha kutoa hukumu ya kifo kwa kupigwa mawe kwa wazinzi waliofuniwa?. Kama ni sheria ya Mungu, yeye mwenyewe ndo alipaswa atoe adhabu na sio sisi binadamu mana hata sisi ni wazinifu ila hatujafuniwa tukizini.
Sijaelewa pointi yakoMungu yupi mkuu?. Huyu Mungu anayetumia vibaka, majambazi, wezi, walevi na wazinzi waliojificha kutoa hukumu ya kifo kwa kupigwa mawe kwa wazinzi waliofuniwa?. Kama ni sheria ya Mungu, yeye mwenyewe ndo alipaswa atoe adhabu na sio sisi binadamu mana hata sisi ni wazinifu ila hatujafuniwa tukizini.
Huwezi kumuelewaSijaelewa pointi yako
Hebu tuweke mfanoYeye huyo mtu anapompokonya mwenzake haki ya kuishi ndio ustaarabu?
POLITICAL CORRECTNESS! 🤮🤮🤮🤮Two wrong things huwezi kupata kitu kimoja right, Tanzania ya ujima ndio bado inaamini in death sentence, na mbaya zaidi jeshi letu la police, linapokuja suala la foresinc ni zero, hatuna modern DNA na matokeo yake nguvu zinatumika mno kupeleka convicts to gallows
KUNA MWANASHERIA WAKILI MSOMI MMOJA ALIKUWA MTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU SANA KUHUSIANA NA SUALA LA CAPITAL PUNIDHMENT. MUNGU BWANA! YAKAJA KUMKUTA KWA MKEWE. WALIVAMIWA NA MAJAMBAZI NYUMBANI USIKU (YEYE NA FAMILIA YAKE YA MKE, WATOTO WATATU NA MTUMISHI WA NDANI), WAKAKUSANYWA SEBULENI WOTE WAKIWA UCHI. MAJAMBAZI YAKAAMURU WAPEWE PESA. YAKAPEWA PAMOJA NA VITU VINGINE KAMA SIMU, KISHA, YOTE YAKAMBAKA MKEWE MBELE YA FAMILIA KISHA YAKAMUUA KWA JAMBIA. MUME ALIZIMIA KWANZA AKAENDA KUZINDUKIA ICU. KWENYE KUTOA MAELEZO POLISI ALIOMBA MAJAMBAZI WALE WASAKWE NA WAHUKUMIWE KUNYONGWA.Ngoja ukutwe na jambo afu tuone kama utaandika hivi.
Ila si Tanzania pekee.Two wrong things huwezi kupata kitu kimoja right, Tanzania ya ujima ndio bado inaamini in death sentence, na mbaya zaidi jeshi letu la police, linapokuja suala la foresinc ni zero, hatuna modern DNA na matokeo yake nguvu zinatumika mno kupeleka convicts to gallows