Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu
1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye moto wa milele wachomeke na kuteseka, kwanini alituumba? alivotuumba amepata nini na asingetuumba angepungukiwa nini? Akitupeleka wenye dhambi kwenye moto wa milele yeye anafaidika nini?
2) Kuhusu upana wa adhabu yani mtu uchomeke kwa zaidi ya matrilioni ya miaka kwa dhambi ulizofanya ndani miaka 70 tu, Mungu atavumiliaje kuona viumbe wake wakiteseka kwenye moto milele na milele? Maana naamini Hitler hawezi kumchoma adui yake kwenye moto wa milele. Kibinadamu hata nimchukie vipi mtu, ntamuhurumia mkiona anateseka sana, iweje Mungu tunaeambiwa mwenye upendo asione huruma tena.
Labda nayaongea haya sababu ya ufahamu wangu mdogo, humu jamii forum najua kuna fallen angels (malaika mlioasi mbinguni mkatupwa huku duniani mkisubiria adhabu ya ziwa la moto wa milele) mapepo/majini na Mnaojifanya Kuwa nyie wanadamu wenzetu najua mpo humu JF na post yangu mnaisoma, hebu tuambieni kiuhalisia hii adhabu ni haki kabisa nyie kuipata? Mwaionaje?