VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
- Thread starter
- #101
Yeah life sentence ya kukaa kwenye cell na kufanya vishughuli vidogo vidogo huku nikiomba Mungu msamaha wa Raisi uje...(lakini ingekuwa ni life sentense ya kibano cha usiku na mchana na kukosa hata muda wa kupumzika, mwenyewe ningetafuta shuka na msumari ili nijimalize,hahahahahahah!!!!!subutu yako!!!!!!!!!!!! i swear huwezi kubali kunyongwa, utaprefer life sentence
Hivi haujasikia wafungwa wamejaribu kujitoa maisha lakini hawakufanikiwa na wanaendelea kujaribu tena na tena??