Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

hahahahahahah!!!!!subutu yako!!!!!!!!!!!! i swear huwezi kubali kunyongwa, utaprefer life sentence
Yeah life sentence ya kukaa kwenye cell na kufanya vishughuli vidogo vidogo huku nikiomba Mungu msamaha wa Raisi uje...(lakini ingekuwa ni life sentense ya kibano cha usiku na mchana na kukosa hata muda wa kupumzika, mwenyewe ningetafuta shuka na msumari ili nijimalize,

Hivi haujasikia wafungwa wamejaribu kujitoa maisha lakini hawakufanikiwa na wanaendelea kujaribu tena na tena??
 
........bado nina-argue kwamba kifo sio ultimate na the worse punishment (ingekuwa hivyo watu wangekuwa hawajiui)......
Kuna haki kubwa zaidi ya haki ya kuishi?...kuna kitu kina thamani kubwa kuliko uhai wa binaadamu? labda tunazie hapo maana adhabu ya kunyongwa kimsingi ni kumyang'anya mkosaji haki hiyo. Adhabu nyingine zinamnyangawa mtu haki ya kwenda anakotaka na kufanya atakacho nk nk.
 
Yaani liuaji liue halafu eti lifungwe maisha. Hapo litakuwa na uhuru wa kula, kushiba, kunya, kupumua, na kupiga punyeto!! Hapana aisee...ukiua na wewe uondolewe tu hiyo haki yako ya kuishi.
 
What i know ni kwamba adhabu ya kifo imesaidia sana kupunguza mauaji, hapa simaanishi watu hawauani. katika hali ya kawaida binadamu anaogopa sana kifo hivyo adhabu hiyo ipo kwa maana ya kumtisha asifanye hivyo pia wakati mwingine huyu mtu anaye fikia kuona kutoa uhai wa mwezake ni kawaida basi jamii inaona bora aondoke yeye hapa duniani na awaache wanaoona thamani ya wenzao.

Niadhabu ambayo kihistoria imepitia mengi hadi kufikia ilipo kutokana na haki za binadamu, kuanzia kuua kwa mateso na hadi sasa kuua bila mateso lengo ikiwa ni hutakiwi kuwepo duniani hivyo uondoke bila machungu
 
EA JUDGES ROOT FOR DEATH PENALTY (DAILY NATION TUESDAY JULY 26,2011)
"It should be an eye for an eye so that two of us have an eye each. Abolitionists favour more rights for the offender than those of the victim. "A person who plans to take away my head simply because I have no hair for financial gains does not deserve to live," Uganda's principal judge .

An Eye for an Eye will make the all World Blind.... Gandhi

Kwangu mimi mtu akinitoa jicho badala na yeye kumtoa jicho I had rather nichukue mali zake au afanyishwe kazi za kuweza kugharamia nilivyozurika..., Hivi na yeye wakimtoa jicho ndio maumivu yangu au na mimi nitapata jicho
 
Process ya mpaka mtu kuja kunyongwa ni kubwa sana..., alafu tunaweza tukafanya gereza likawa productive yaani kuhakikisha kwamba mfungwa kama alazalisha 2x basi matumizi yake ni x yaani tuhakikisha kila wanachokula wanakizalisha na surplus inapatikana

hapo sawa kama kuna mikakati dhabiti isije ikawa nikuwafanyisha wahalifu kazi kunufaisha vigogo fulani manake nimeshuhudia wahalifu wanachukua tenda ya ujenzi na pesa zote mkuu wa gereza sijui na nani tena mfukoni
 
Mkuu hivi ulishasikia watu waliobakwa mpaka maisha yao yote hawawezi kumsogelea mwanaume?, hivi hujasikia watu waliobakwa mpaka kila siku wanapata nightmares na kujiona wachafu hadi kujiona worthless....? mkuu kuua mtu ni kwamba yule unayemuua ni kwamba pale anakuwa ameondoka effect inabaki kwa ndugu na jamaa wakati kubaka unaweza ukaleta machungu ya lifetime kwa muhusika pamoja na ndugu zake. Alafu hatujui psychological damage huenda abuse unazomfanyia huyu mtu kama ni mdogo akiwa mkubwa unaweza ukasababisha na yeye akawa katili hence kuua watu
nadhani lijaribu kuangalia probability ya lesser effect kati hayo mawili. hata hivyo rape cases asilimia kubwa huwa zinatibika na life continues

Mkuu kwani kunyonga ndio kutamrudisha huyo bread winner?, lakini psychological damage ya kumbaka mke au mtoto wa mtu unaweza ukamfanya asitake kuguswa na mwanaume tena au kama ni mtoto achukie tendo la ndoa.., na kama ni mke wa mtu just imagine effect atakayokuwa nayo mme wake na watoto...? Pili ndio maana nikasema njia nzuri labda ni kumfilisi aliyentenda hayo mauaji au kumfanyisha kazi na profit kwenda kwa waathirika[
hapa nakubaliana na wewe 100% on condition kama kuna system dhabiti ambayo ni transparent na inabenefit waathiriwa direct bila kuwa na cartels au middle men
 
Haki ya kwanza na ya msingi ya binadamu yeyote ni haki ya kuishi.
Sasa kama kunamwingine anatoa haki ya wenzake ya kuishi haina budi aondolewe yeye haki hiyo ili wenzake waendelee kuinjoy haki hiyo ya msingi
 
Kuna haki kubwa zaidi ya haki ya kuishi?...kuna kitu kina thamani kubwa kuliko uhai wa binaadamu? labda tunazie hapo maana adhabu ya kunyongwa kimsingi ni kumyang'anya mkosaji haki hiyo. Adhabu nyingine zinamnyangawa mtu haki ya kwenda anakotaka na kufanya atakacho nk nk.

Yaani liuaji liue halafu eti lifungwe maisha. Hapo litakuwa na uhuru wa kula, kushiba, kunya, kupumua, na kupiga punyeto!! Hapana aisee...ukiua na wewe uondolewe tu hiyo haki yako ya kuishi.

The Soham murders was an English murder case in 2002 of two 10-year-old girls in the village of Soham, Cambridgeshire.
The victims were Holly Marie Wells and Jessica Aimee Chapman. On 4 August 2002, after going out to buy some sweets, the girls passed the home of local school caretaker Ian Kevin Huntley, who called them into his house and then murdered them, apparently in a fit of rage after an argument with his girlfriend.
Huntley disposed of the girls' bodies near RAF Lakenheath in Suffolk. In December 2003 he was convicted of two counts of murder and sentenced to life imprisonment. His girlfriend, Maxine Carr, who had provided Huntley with a false alibi, served 21 months in prison forperverting the course of justice.

That was 2002 huyu Bwana aliwauwa watoto hao wadogo wawili

Soham murderer Ian Huntley back in jail after third suicide bid
Last updated at 08:24 29 September 2007

Ian Huntley has been treated in hospital after trying to commit suicide for a third time.
The 33-year-old Soham killer took an overdose of prescription drugs yesterday afternoon at Wakefield Prison in West Yorkshire.
Read more: Soham murderer Ian Huntley back in jail after third suicide bid | Mail Online

Je wakuu bado mgetaka kumsaidia huyu kichaa na muuaji kwa kumpa kifo anachokililia?
 
That was 2002 huyu Bwana aliwauwa watoto hao wadogo wawili

Je wakuu bado mgetaka kumsaidia huyu kichaa na muuaji kwa kumpa kifo anachokililia?

Haswa! Na ningependelea afe jinsi ninavyotaka mimi na si jinsi anavyotaka yeye. Na ratiba ya kifo chake mimi ndiyo ningependa niwe na mamlaka nayo na si yeye. Kwa maneno mengine mimi ndiyo ningependa afe lini na si yeye kuamua afe lini.
 
"Why do we Kill People who Kill People to Show that Killing People is Wrong ?"​

Je ni sawa kuwa na Hukumu ya Kifo?
Baada ya yule Chizi wa Norway kuua kadamnasi ya watu (ukizingatia Norway life Sentence ni limited kwa miaka 21 tu) Je ni muhimu kuwa na hukumu ya kifo? Ni nini hasa faida ya hukumu ya kifo?

Je hukumu ya kifo inafanya watu waogope kutenda maovu kwahiyo ni njia nzuri au ni kuonyesha hata sisi hatuna tofauti na waliofanya hayo maovu?

I can argue kwamba huenda hukumu ya kifo ni adhabu rahisi sababu badala ya kumfanya mtu ku-suffer kwa kosa lake, tunampumzisha...Je sio vema kumfunga mtu maisha na kumfanyisha kazi ngumu kwa maisha yake yaliyobaki na kila alichonacho au atakachokitengeneza kiende kwa wale aliowatenda....

What do you think?.....

Hukumu ya kifo ni sawa kabisa ila la msingi ni kuiboresha kulingana na kosa husika hasa kwa wauaji kwa kukusudia. Anayedhani si fundisho kwa mtenda ni mpuuzi kwa sababu zifuatazo:
  • muuaji na yeye aliyemuua hakumpa muda wa kujirekebisha (tudhani alikuwa amemkosea)
  • kama aliua kwa kuwa ni mwehu au kichaa ni mtu hatari sana kwani anaweza kuua wengine
  • anayetakiwa kujifunza si yeye kwakuwa nafasi hiyo muuaji hana tena ila ijifunze jamii
  • serikali isipohukumu wananchi watahukumu wenyewe
  • Mbona zinanunuliwa silaha kama mabomu ya mbagala na Gongolamboto?
  • polisi na mgambo au walinzii wanaruhusiwa kumuua jambazi na ili kuhakikisha wanaua, hupewa silaha je mahakama yenye kutenda haki????
Hukumu ya kifo ni sahihi na mimi nawaomba wale wanaoshindwa KUNYONGA au kutia saini ili waharifu waliopatikana kihalali waniajiri mimi niwamalize ili heshima iwepo
 
Haswa! Na ningependelea afe jinsi ninavyotaka mimi na si jinsi anavyotaka yeye. Na ratiba ya kifo chake mimi ndiyo ningependa niwe na mamlaka nayo na si yeye. Kwa maneno mengine mimi ndiyo ningependa afe lini na si yeye kuamua afe lini.
Lakini yeye sababu ameshajaribu mara tatu kujiua kwa wewe kumuua wakati wowote kuanzia hapo aliposhindwa itakuwa ni kumsaidia na sio kumpa adhabu.

Sababu kama amejaribu vidonge, amejaribu kujinyonga na shuka na vyote ameshindwa na nina uhakika angepata hata bunduki au umeme angejimaliza..., au wale wanaotaka kupiga wenzao mabomu na kujaribu kujiua wenyewe unadhani kuwanyonga baadae kutawatisha au kuwaumiza...? Issue kama ni suffering kwa mkosaji basi nadhani kuna aina nyingi za ku-inflict suffering kuliko kifo
 
Haijalishi. Kama kaua wapendwa wangu naye haki ya kuishi na aikose.
 
What i know ni kwamba adhabu ya kifo imesaidia sana kupunguza mauaji, hapa simaanishi watu hawauani. katika hali ya kawaida binadamu anaogopa sana kifo hivyo adhabu hiyo ipo kwa maana ya kumtisha asifanye hivyo pia wakati mwingine huyu mtu anaye fikia kuona kutoa uhai wa mwezake ni kawaida basi jamii inaona bora aondoke yeye hapa duniani na awaache wanaoona thamani ya wenzao,
Niadhabu ambayo kihistoria imepitia mengi hadi kufikia ilipo kutokana na haki za binadamu, kuanzia kuua kwa mateso na hadi sasa kuua bila mateso lengo ikiwa ni hutakiwi kuwepo duniani hivyo uondoke bila machungu

Mkuu research iliyofanyika kati ya nchi za Singapore na Hongkong imeonekana kwamba Hukumu ya kifo haipunguzi uhalifu... tatizo la kumuondoa mtu duniani mimi naona huyu mto tunaweza kumuondoa katika jamii na bado akapata kibano cha kujuta kuzaliwa au kutamani afe (kufa hafi ila chamoto anakiona
 
Hukumu ya kifo ni sawa kabisa ila la msingi ni kuiboresha kulingana na kosa husika hasa kwa wauaji kwa kukusudia. Anayedhani si fundisho kwa mtenda ni mpuuzi kwa sababu zifuatazo:
  • muuaji na yeye aliyemuua hakumpa muda wa kujirekebisha (tudhani alikuwa amemkosea)
well ni kweli na inabidi apate mateso makubwa (je kifo ni mateso makubwa tunayoweza kumpa)

  • kama aliua kwa kuwa ni mwehu au kichaa ni mtu hatari sana kwani anaweza kuua wengine
Akiwa jela maisha atawezaje kuua wengine (tena sheria zetu mtu akiwa kichaa hawezi kuhukumiwa) sababu hana Mens Rhea (guilty mind) kwahiyo anakuwa hajafanya kosa
  • anayetakiwa kujifunza si yeye kwakuwa nafasi hiyo muuaji hana tena ila ijifunze jamii
well hakuna proof kwamba hukumu ya kifo imepunguza crime na kuna mateso mengine makubwa ambayo jamii ingejifunza (hivi kweli kwenye jamii hakuna mtu anaejua kwamba kuua hakufai?)
  • serikali isipohukumu wananchi watahukumu wenyewe
Hakuna binadamu anayeruhusiwa kuua labda kama ni self defense au kama nguvu nyingine zozote sizingeweza kutumika (kuua ni last resolt) hata polisi akimuua mtu wakati angeweza kutumia nguvu nyingine atapoteza kazi yake na kushtakiwa
 
Mkuu research iliyofanyika kati ya nchi za Singapore na Hongkong imeonekana kwamba Hukumu ya kifo haipunguzi uhalifu... tatizo la kumuondoa mtu duniani mimi naona huyu mto tunaweza kumuondoa katika jamii na bado akapata kibano cha kujuta kuzaliwa au kutamani afe (kufa hafi ila chamoto anakiona

Kwani nani kakuambia lengo la hiyo adhabu ni kupunguza uhalifu? Lengo ni kujaribu kumtendea haki yule aliyepotezewa haki yake. Nasema 'kujaribu' kwa sababu huwezi tena kumrudishia mfu haki yake ya uhai. Therefore the next best thing is at least to attempt to do justice.

Hapa duniani hakuna adhabu inayofuta uhalifu kwa asilimia 100. Uhalifu ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Na ndiyo maana tukajiwekea sheria. And what is law? Law is a set of rules that 'attempt' to guide human conduct. The operative word there is 'attempt'.
 
well ni kweli na inabidi apate mateso makubwa (je kifo ni mateso makubwa tunayoweza kumpa)

Akiwa jela maisha atawezaje kuua wengine (tena sheria zetu mtu akiwa kichaa hawezi kuhukumiwa) sababu hana Mens Rhea (guilty mind) kwahiyo anakuwa hajafanya kosa

kumfunga ndo kumtendea haki? Je vipi haki ya kuwa huru? Sawa na haki ya kufa tu.

well hakuna proof kwamba hukumu ya kifo imepunguza crime na kuna mateso mengine makubwa ambayo jamii ingejifunza (hivi kweli kwenye jamii hakuna mtu anaejua kwamba kuua hakufai?)
Hakuna sababu ya kujua kuwa kifo hakimwumizi kwakuwa ata wewe na mimi hatujawahi kufa. Basi kusiwepo vita halali au askali kupewa bunduki za moto. Wawe wanapapasa majambazi (Mwehu anauliwa na nguvu ya umma kwakuwa hapo sheria imepotoka)

Hakuna binadamu anayeruhusiwa kuua labda kama ni self defense au kama nguvu nyingine zozote sizingeweza kutumika (kuua ni last resolt) hata polisi akimuua mtu wakati angeweza kutumia nguvu nyingine atapoteza kazi yake na kushtakiwa

Nani amesema hayo? Mungu au serikali? Jamii inataka je mkuu?
 
Sheria zinatakiwa kuwa tofauti kulingana na jamii fulani fulani.

Kuna jamii kulingana na aina crime, madhara ya crime na frequncy ya crime husika hukumu ya kifo inaweza isiwe dawa. Laini vile vile kunajamii nyingine crime hizo hizo na hata nyingine za ina hiyo zinaweza kuwa sawa kuhukumiwa kifo.

Binafsi kwa Taifa kama Tanzania nadhani ni Kosa kuondoa hukumu y kifo. Though niko religius lakini kiserikali nikiwa muamuzi nitapenda kurudisha hukumu ya kifo. Nadhani hata mungu atanisamehe.

So it could not not be ok in Norway but it could OK in tanzania or US. Hii itu haitakiwi kugaliwa kisheria tu na ibinadamu. A lot of factors need to be considered before making a balanced approppiate decision suitable for the state

Nawasilisha
 
Nafikiri ni bora hukumu ya kifo ipigwe marufuku. Justice is fallible. Imeshawahi kutokea watu wasio na hatia kupelekwa gerezani, ila kwa bahati nzuri bado tulikuwa na uwezo wa kuwaacha huru tena baada ya kugundua kwamba tulikosea.

Kama watu hao walikuwa wameshauawa, jinsi gani tungalirekebesha kosa kubwa kama hivi? Aidha, inawezekana kupelekwa gerezani kwa muda mrefu itamfanya jambazi atafakari akajuta kwa alichokifanya, basi kwa nini wasipewe second chance kamwe? Prison should not only have a deterrent effect, it should protect society from dangerous people by making prisoners realize the gravity of their acts and work towards preventing them from comitting them again.

And of course, ili wafungwa wasiwe mizigo ya kiuchumi tu kwa jamii inayowalipia nguo wanazovaa, chakula wanachola, n.k. yafaa wafanyishwe kazi kwa faida ya jamii nzima.
 
Back
Top Bottom