Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais

Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero

Screenshot_2024-05-24-13-20-57-1.png
Screenshot_2024-05-24-13-20-49-1.png
 
Wacha wapewe dawa hawa maofisa baadhi yao wanajikuta sana pindi unataka huduma kutoka kwao sitetei mtu hapa ngoja wanyooshane..
 
Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais

Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero

View attachment 2998158View attachment 2998159
toa maelezo ya kina, ya kazi ya umma ulopewa kuisimamia, kwanini ipo hivyo ilivyo na fedha za walipakodi zimetolewa ? 🐒

every civil servant, must be ready in giving out detailed informations for for the status of ongoing and completed public programs and projects within areas of their supervisions and authority......

value for money is the key factor for measurements of thier performance...
hakuna kuleta urembo au utanashati kwenye kazi za umma, toa maelezo 🐒
 
Nani asiyejua watumishi wa umma kuanzia katani mpaka mkoani,walivyo na nyodo kwa wananchi? Ukifika hospitari ya umma, cha moto unaanza kukiona kuanzia getini kwa mlinzi! Wacha waenyeshane
 
Sasa kama mtu anataka kuleta mapenzi kwenye mambo serious unamwambiaje zaidi ya kumkejeli.

Watumishi wengi wa kike wakishashibashiba rushwa huwa wanakuwa na pozi sana na kudharau kila mtu, wakishazoea huo usenge hujisahau nakutaka kumdharau kila mtu.

Acha chizi mwenzao awakomeshe.
 
Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais

Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero

View attachment 2998158View attachment 2998159
Makonda aseme ukweli wenda pisi kali ameikubali , Makonda muhuni sana unaweza kuta Ameisha ipigia sim iende ofisin kwake au wanafamihana, wapenzi wakutanapo kuna codes haziwezi jificha ndo maana Bibie akaanza kulegeza sauti
 
Back
Top Bottom