Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

Mutakufa kwa chuki nyinyi Chadomo viongozi wakiwa wazembe munasema wakiwa wachapa kazi munalalamika hivi hasa munataka nini?

"Haya samahani muheshimiwa hivi unamjua
Bashite
Hili ni jipu jipya toka Koromije
Limeshaiva na usaa limeshatunga nakukabidhi
sindano ya kulidunga
Daktari haogopi kubwa kidonda we si doctor
wa majipu
Tumbua hakuna kuvunga
Kuvamia ofisi za watu hee kumbe nayo ni kazi
Hakuna noma wanangu tupige kazi bodaboda
kazi Bajazi kazi
Eti vipi kukaba nayo ni kazi.."

Nay wa Mitego - Wapo.
 
Nani asiyejua watumishi wa umma kuanzia katani mpaka mkoani,walivyo na nyodo kwa wananchi?
Maneno yako ya jumla sana.
Lakini upo sahihi kwa uelewa wako, lakini tambua kuna sheria na majukumu juu ya kila mtumishi awe wa Umma au binafsi.
Kwani wewe ulitaka mlinzi wa hospitali atimize vipi majukumu yake kama sio kwa kuwnza kwa kukuhoji?
 
Makonda anaonesha dhihaka iliyopo kwa viongozi dhidi ya wananchi. Acha tu awakomeshe
 
Wacha wapewe dawa hawa maofisa baadhi yao wanajikuta sana pindi unataka huduma kutoka kwao sitetei mtu hapa ngoja wanyooshane..
Hivi Ile miwani ni kwambaaaa??? Dressing code nayo ni muhimu ukiongea na boss wako
 
Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais

Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa ke
Ingekuwa MAKONDA anachangiwa ili anunue gari ya 300ml+ nadhani humu Jukwaani nyuzi zingepishana kama mishono ya vitenge na picha nyingi za vituo vya afya pamoja na wanafunzi wakiwa wamekalia mawe.
Lakini Kwa kuwa ni Lissu WA Chadema haina shida ndio uzalendo.
Chadema mko bize kuokoteza vitaarifa badala ya kujikita Kwenye masuala ya msingi...you are fighting a losing battle na 2025 ni kesho kutwa.

Moja ya chama cha upinzani cha hivyo kabisa duniani....upinzani WA ruzuku. Saccos ya wachagga.
 
Back
Top Bottom