Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

Sasa kama mtu anataka kuleta mapenzi kwenye mambo serious unamwambiaje zaidi ya kumkejeli.

Watumishi wengi wa kike wakishashibashiba rushwa huwa wanakuwa na pozi sana na kudharau kila mtu, wakishazoea huo usenge hujisahau nakutaka kumdharau kila mtu.

Acha chizi mwenzao awakomeshe.
Mapenzi gani kaleta pale au na wewe unanyege kama huyobunaye mtetea maan ukikosa mwanaume kwa muda mrefu nyege zinakufanya uwe na hasira.
 
Ni udhalilishaji unafanyika.
Awamu ile Dr. Bashiru àliwahi kusema vijana wameteuliwa hawana mafunzo ya uongozi.
Bahati mbaya hajapatikana mtu wa kumwambia ukweli.
Udhalilishaji huu unafanywa mbele ya kamera,Afrika Mashariki na Kati hakuna staili ya kufanya kazi namna hii huku kiongozi akionyesha kuwa anafahamu kila kitu bila kusikiliza ufafanuzi unaotolewa.
 
Mutakufa kwa chuki nyinyi Chadomo viongozi wakiwa wazembe munasema wakiwa wachapa kazi munalalamika hivi hasa munataka nini?
Udhalilshaji sio uchapa kazi. Anachokifanya Makonda ni kiki za kisiasa na sio kuboresha utendaji. Watu wajinga wa aina yako ndio huwa rahisi kuchotwa na hizo drama. Utendaji huboreshwa kwa mifumo imara, sio kwa ziara za kusaka kiki na kupumbaza wananchi wenye upeo mdogo.
 
Hakuna mema mengine ambayo umeyasikia toka kwa MAKONDA, tofauti na hizi chuki zako dhidi yake kila uchao?, kijba cha roho kitakumaliza
Mazuri ni wajibu wako kuyaleta. Wajibu wako usimtwishe mwingine. Hata huko kwenye nyumba za ibada Kila kiongozi wa ibada huchukua sehemu fulani katika kitabu kitakatifu na kukieleza kwa kina, sio kwamba kila siku wanaongelea kitabu chote.
 
Mahakama ipi iliyothibitisha kaiba hela? Watanzania wengi ni sadists huwa wanafurahia zaidi maumivu au kudharilishwa kwa wengine. Wakiambia watajengewa barabara ya km 1000 hawatashangilia ila mtu akiwa anadharilishwa hadharani utasikia shangwe la kufa mtu.
 
Cha ajabu, wakati huyo Dada anadhalilishwa, wananchi mafukara, wakawa wanashangilia! Mkutano kama ule angeufanya eneo kama Masaki, upanga,Aread D, uzinguni Dodoma, Nairobi, kwanza angekuwa na aiibu asingetoa zile kauli, pia hata kama angesema Yale maneno, hakuna ambaye angecheka, lakini kule kwa mafukara, yanashsngilia,kwamba angalau mtu meingine aumizwe kama wao wanavyoumizwa na maisha!
 
Back
Top Bottom