PostGE2025 Admin wa group la umoja wa Madaktari Tanzania atekwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Majina kamili: Furaha Kibaba Michael (MD)
Ajira:Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Geita.
Kwasasa alikuwa anafanya kazi ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Geita(RMO) kama Mratibu wa
Malaria (Regional Malaria Coordinator) .

Kutekwa kwake.

Jana 17/11/2025 majira ya jioni (saa kumi) alikuwa Geita mjini katika sehemu ya kibanda chake cha bihashara (mitaa ya Aziboni kwa nyuma) zilikuja gari mbili(2), Premio na Land cruiser, walishuka watu kwa haraka na kumchukua, wakamuingiza kwenye gari kwa nguvu, walibeba laptop yake na simu pia.
Mpaka sasa haijulikani alipo baada ya Jitihada za kumtafuta katika vituo vya polis bila mafanikio.

Ni Admin wa group hilo la Medical officer’s of Tanzania.
Wako Madktari wa mikoa karibia yote ya Tanzania bara. lla sio madakari wote (ni kwa wale waliobahatika

Screenshot 2025-11-18 195428.png
 
Atakua na picha za AI huyo
 
Back
Top Bottom