bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,776
- 2,393
Kapiga picha za mochwari uyo dokta
.. Ndo ameisha ivoo
.. Ndo ameisha ivoo
Natarajia kuona mgomo wa madakitari wakishinikiza mwenzao apatikane. Wakilimanyamazia hili wajue watazidi kupotea.Majina kamili: Furaha Kibaba Michael (MD)
Ajira:Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Geita.
Kwasasa alikuwa anafanya kazi ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Geita(RMO) kama Mratibu wa
Malaria (Regional Malaria Coordinator) .
Kutekwa kwake.
Jana 17/11/2025 majira ya jioni (saa kumi) alikuwa Geita mjini katika sehemu ya kibanda chake cha bihashara (mitaa ya Aziboni kwa nyuma) zilikuja gari mbili(2), Premio na Land cruiser, walishuka watu kwa haraka na kumchukua, wakamuingiza kwenye gari kwa nguvu, walibeba laptop yake na simu pia.
Mpaka sasa haijulikani alipo baada ya Jitihada za kumtafuta katika vituo vya polis bila mafanikio.
Ni Admin wa group hilo la Medical officer’s of Tanzania.
Wako Madktari wa mikoa karibia yote ya Tanzania bara. lla sio madakari wote (ni kwa wale waliobahatika
Kuna mashine inaitwa Haji ni balaa Abdul mtoto mdogoAbdul bado ana hamu ya kunywa damu za Watanganyika
Nilidhani kulikua na umuhimu wa kuonyesha uhusiano wa kuwa group adimin na kutweka kwakeMajina kamili: Furaha Kibaba Michael (MD)
Ajira:Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Geita.
Kwasasa alikuwa anafanya kazi ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Geita(RMO) kama Mratibu wa
Malaria (Regional Malaria Coordinator) .
Kutekwa kwake.
Jana 17/11/2025 majira ya jioni (saa kumi) alikuwa Geita mjini katika sehemu ya kibanda chake cha bihashara (mitaa ya Aziboni kwa nyuma) zilikuja gari mbili(2), Premio na Land cruiser, walishuka watu kwa haraka na kumchukua, wakamuingiza kwenye gari kwa nguvu, walibeba laptop yake na simu pia.
Mpaka sasa haijulikani alipo baada ya Jitihada za kumtafuta katika vituo vya polis bila mafanikio.
Ni Admin wa group hilo la Medical officer’s of Tanzania.
Wako Madktari wa mikoa karibia yote ya Tanzania bara. lla sio madakari wote (ni kwa wale waliobahatika
Majina kamili: Furaha Kibaba Michael (MD)

Mganga hajigangiWaziri mpya wa sekta awahi kumnusuru lisije kumuangukia!
Duh,Admin wa group la umoja wa Madaktari Tanzania atekwa
Sekta gani? Sekta ya utekaji au?Waziri mpya wa sekta awahi kumnusuru lisije kumuangukia!
Ndio umteke .?Labda ana info muhimu zisizo takiiwa kuwa hadharani.
Boraumerudi nilikuwa sikuoni humu duhTunatafuta muafaka wa kitaifa huku tunaendelea kutekana...hakuna tunavhokifanya
A cover up for one murder requires another and so a murder loop is created...without repentance and acceptance of mistakes you guys call them sins it becomes hard to terminate it and So one paveth the straight road to hell.Bado wanaua tu ?hawachoki?
Hapo mwisho umeharibu.Majina kamili: Furaha Kibaba Michael (MD)
Ajira:Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Geita.
Kwasasa alikuwa anafanya kazi ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Geita(RMO) kama Mratibu wa
Malaria (Regional Malaria Coordinator) .
Kutekwa kwake.
Jana 17/11/2025 majira ya jioni (saa kumi) alikuwa Geita mjini katika sehemu ya kibanda chake cha bihashara (mitaa ya Aziboni kwa nyuma) zilikuja gari mbili(2), Premio na Land cruiser, walishuka watu kwa haraka na kumchukua, wakamuingiza kwenye gari kwa nguvu, walibeba laptop yake na simu pia.
Mpaka sasa haijulikani alipo baada ya Jitihada za kumtafuta katika vituo vya polis bila mafanikio.
Ni Admin wa group hilo la Medical officer’s of Tanzania.
Wako Madktari wa mikoa karibia yote ya Tanzania bara. lla sio madakari wote (ni kwa wale waliobahatika
View attachment 3503887