Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Coz namba ya mtu inaonekana.WhatsApp SIYO mtandao salama! Kuna kuchomana kwingi sana!
Ingekuwa telegram sawa unaweza ficha namba ,
Afu Sajili na namba ambayo mtu mwingine hana
Coz namba ya mtu inaonekana.WhatsApp SIYO mtandao salama! Kuna kuchomana kwingi sana!
Kaka hii nchi sio salama kabisa.sijui lini tutakuwa salama😭😭😭😭😭Kumbe bado wapo🥺🥺🥺🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿