PostGE2025 Admin wa group la umoja wa Madaktari Tanzania atekwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Natarajia kuona mgomo wa madakitari wakishinikiza mwenzao apatikane. Wakilimanyamazia hili wajue watazidi kupotea.

Medical.Association of Tanzania (MAT) Mnapaswa kuzungumza lugha kali kwenye hili. Mgomo wenu utamrejesha mwenzenu.
 
Nilidhani kulikua na umuhimu wa kuonyesha uhusiano wa kuwa group adimin na kutweka kwake

Vinginevyo sioni umuhimu wa kusema jamaa ni group adimin
 
Tunatafuta muafaka wa kitaifa huku tunaendelea kutekana...hakuna tunavhokifanya
Boraumerudi nilikuwa sikuoni humu duh

Unajua sasahv mtu akipotea hapa jukwaani nakuwa na hisia za kutekwa Ila

All in all tutavuka tu tuamini katika ushindi
 
Watatumaliza walahi mi hadi naogopa kutembea hakuna aliye salama
 
Bado wanaua tu ?hawachoki?
A cover up for one murder requires another and so a murder loop is created...without repentance and acceptance of mistakes you guys call them sins it becomes hard to terminate it and So one paveth the straight road to hell.
#CAPTURED BY EVIL.
 
Hapo mwisho umeharibu.
Eti waluobahatika.
Yaani kuwa kwenye group la Whatsapp ni kubahatika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…