PostGE2025 Admin wa group la umoja wa Madaktari Tanzania atekwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatari sana mpaka leo mambo ya kutekana yanaendelea!
 
Gen Z fanyeni tu mtukomboe hiyo D9. Kiukweli wazazi wenu tumekuwa ni zaidi ya kondoo.
 
Baadae wanakwambia Mange anahamasisha maandamano.
 
Subirini maridhiano yanayosimamiwa na watekaji.
....usijione upo salama, yeyote aweza kutekwa wakati wowote.
 
Miili iliopo mochwari geita itakuwa ni chanzo
 
Kumbe bado wapoπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ
Kipi kilikufanya uhisi kuwa wametulia au wameacha? Hujui kuwa baada ya siku ya uchaguzi ndio walianza kuwa na speed ya kuteka kuliko hata zamani

Sasa hivi watu wanatekwa wengi sana. Sauti hazisikiki sababu ni watu wa kawaida wa mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…