Admission post zinatoka lini?

Admission post zinatoka lini?

ishu ni competition madogo avehni ujinga mtu una div 1 pointy 7 afu una apply petroleum eng UDSM unategemea nini au na kadivision 1 kako kasiko na kichwa wala miguu unaaply course za heshima pale udsm unategemea nini??

sio kwel mkuu... umechemka
 
Ila kwel watu weng walikimbilia udsm udom na mzumbe ambvyo compttn ni kubwa kwangu me kwngu nlijiekea NIT. UDOM. UDSM . MIPANGO NA MZUMBE so nltarget kote kote na nimepata so nasubir tu nijue wamenipangia wapi
 
Ooh Mimi nilijaza UDOM na mzumbe bhasi..then I wasn't on the second round application. Nasubiri post
 
Maana mimi imeandikwa processed..chini imeandikwa you have been selected. Shida hawajaonesha chuo gani!!!
 
ishu ni competition madogo avehni ujinga mtu una div 1 pointy 7 afu una apply petroleum eng UDSM unategemea nini au na kadivision 1 kako kasiko na kichwa wala miguu unaaply course za heshima pale udsm unategemea nini??

Hizo kozi za heshima ni zipi ?

Кιмfαα α¢нσ мтυ ¢нαкє.
 
Hizo kozi za heshima ni zipi ?

Кιмfαα α¢нσ мтυ ¢нαкє.

Hahahaha mkuu hata mi nimeshangaa eti kozi za heshima.
 
Hawa s ndo kla siku walikua wanasmbua mara oh mbona TCU hawatoi majb sa majb yametoka wanaanza kulia y so?
 
Hizo kozi za heshima ni zipi ?

Кιмfαα α¢нσ мтυ ¢нαкє.
Sitokujibu upuuzi wako kwa sababu natambua fika unaelewa nilikuwa namaanisha nini
 
ishu ni competition madogo avehni ujinga mtu una div 1 pointy 7 afu una apply petroleum eng UDSM unategemea nini au na kadivision 1 kako kasiko na kichwa wala miguu unaaply course za heshima pale udsm unategemea nini??

Kuna kabinti kamoja nilikashauri vizuri kulingana na uzoefu wangu, kakajifanya Legendary na Div 3 yake ya mwisho anataka Famas Muhimbili. Mbona alinifata baadae nimbadilishie course hapo sasa ndio nikampa makavu.
 
Back
Top Bottom