Admission post zinatoka lini?

Admission post zinatoka lini?

Sawa tumeshaapply na notice ya kuwa selected tumeipata sasa mbona siku zinaenda TCU lini watatoa hizi post ili tujue tunajiunga na vyuo vipi?Mwenye fununu anifahamishe

Kaka ww umekuwa selected lakin second around hawajawa selected so subiri hadi deadline ipiteee ya second around ndo zitatoka mwisho tarh 15 jumatatu so kuanzia jumanne ndo post zinaweza tokaa.. kaka
 
Hahahah people wana uraru raru wa kwenda chuo. Just wait
 
attachment.php
 
please mwenye ufahamu wa hilo naombeni nijue kama matokeo ya walio apply nacte diploma equivalent yametoka???
 
unapo "comment" k2 jarb ku2mia busara co una andka manen ya kukatsha wat tamaa kwel watz hatupendan
 
Mh .. hyo mbna ameapply coz nyng kwnye chuo kmoja????@ excel
 
let me assure you katika hizo course ulizoandika hapo utachaguliwa either mechanical(coz haina comptn sana) au agrc eng sua....afu mdogo wangu na point zako hizo mbovu kwanini uliweka petro eng ya kwanza??...au kutaka sifa tu hapo cafe ulipokuwa unafanya applctns zako

labda agriculture, udsm kila cozy ina competion had fine perfoming art, ndo iwe mechanical. tikiti maji ww
 
Mada imEpotea watu wanlumbana haya tupite zetu

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ishu ni competition madogo avehni ujinga mtu una div 1 pointy 7 afu una apply petroleum eng UDSM unategemea nini au na kadivision 1 kako kasiko na kichwa wala miguu unaaply course za heshima pale udsm unategemea nini??

We hujielewi na sembuse hukupata one wewe
 
let me assure you katika hizo course ulizoandika hapo utachaguliwa either mechanical(coz haina comptn sana) au agrc eng sua....afu mdogo wangu na point zako hizo mbovu kwanini uliweka petro eng ya kwanza??...au kutaka sifa tu hapo cafe ulipokuwa unafanya applctns zako

We limbukeni
 
Kaka ww umekuwa selected lakin second around hawajawa selected so subiri hadi deadline ipiteee ya second around ndo zitatoka mwisho tarh 15 jumatatu so kuanzia jumanne ndo post zinaweza tokaa.. kaka

Second round tayari hii hadi chuo unachoenda
 
Ila kwel watu weng walikimbilia udsm udom na mzumbe ambvyo compttn ni kubwa kwangu me kwngu nlijiekea NIT. UDOM. UDSM . MIPANGO NA MZUMBE so nltarget kote kote na nimepata so nasubir tu nijue wamenipangia wapi

Umeshatupwa MIPANGO tu hapo hakuna mjadala.
 
Back
Top Bottom