ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Sawa tumeshaapply na notice ya kuwa selected tumeipata sasa mbona siku zinaenda TCU lini watatoa hizi post ili tujue tunajiunga na vyuo vipi?Mwenye fununu anifahamishe
huo uzoefu umeutoa wapi
Sawa tumeshaapply na notice ya kuwa selected tumeipata sasa mbona siku zinaenda TCU lini watatoa hizi post ili tujue tunajiunga na vyuo vipi?Mwenye fununu anifahamishe
Kaka ww umekuwa selected lakin second around hawajawa selected so subiri hadi deadline ipiteee ya second around ndo zitatoka mwisho tarh 15 jumatatu so kuanzia jumanne ndo post zinaweza tokaa.. kaka
let me assure you katika hizo course ulizoandika hapo utachaguliwa either mechanical(coz haina comptn sana) au agrc eng sua....afu mdogo wangu na point zako hizo mbovu kwanini uliweka petro eng ya kwanza??...au kutaka sifa tu hapo cafe ulipokuwa unafanya applctns zako
ishu ni competition madogo avehni ujinga mtu una div 1 pointy 7 afu una apply petroleum eng UDSM unategemea nini au na kadivision 1 kako kasiko na kichwa wala miguu unaaply course za heshima pale udsm unategemea nini??
let me assure you katika hizo course ulizoandika hapo utachaguliwa either mechanical(coz haina comptn sana) au agrc eng sua....afu mdogo wangu na point zako hizo mbovu kwanini uliweka petro eng ya kwanza??...au kutaka sifa tu hapo cafe ulipokuwa unafanya applctns zako
Kaka ww umekuwa selected lakin second around hawajawa selected so subiri hadi deadline ipiteee ya second around ndo zitatoka mwisho tarh 15 jumatatu so kuanzia jumanne ndo post zinaweza tokaa.. kaka
We hujielewi na sembuse hukupata one wewe
Ila kwel watu weng walikimbilia udsm udom na mzumbe ambvyo compttn ni kubwa kwangu me kwngu nlijiekea NIT. UDOM. UDSM . MIPANGO NA MZUMBE so nltarget kote kote na nimepata so nasubir tu nijue wamenipangia wapi