DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
"Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?".
Mbunge mteule wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu, amemwuliza mgombea uspika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzaniakupitia CCM leo Novemba 11, 2025.
Mbunge mteule wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu, amemwuliza mgombea uspika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzaniakupitia CCM leo Novemba 11, 2025.