PostGE2025 Ado Shaibu auliza kuhusu katiba mpya Mgombea ZUNGU asema iko njiani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?".

Mbunge mteule wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu, amemwuliza mgombea uspika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzaniakupitia CCM leo Novemba 11, 2025.

Your browser is not able to display this video.
 
Wayao ndio wamemtuma Katiba mpya?
 
Mchakato unaendelea, iko njiani, mpango kazi unaandaliwa, kamati itakaa, stakabadhi ghalani, tunaangalia uwezekano..

Haya maneno sio mageni.
 
Kuna mashine zimeingizwà ña zinagawiwa mtaani yani maandamano yajayo sio kinyonge yañi raia 100 polisi 3000
 
Hawa jamaa wanakera sana... story ni hizi hizi miaka nenda rudi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…