Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

Acha tu watoto waimbe napenda nyonya pipi,nkupake mafuta ingie vzr,inama itereze, honey wng simuachi chumbani
--- type mna kizaz cha ovyo ndmn sahv mitoto midg lkn Michz inaijua
Washazibuliw maeneo yote
Na mpk mfike 2030 mambo yatakuwa nyakanyaka

Ova
 
Wenye kupiga vita ndiyo haohao unasikia michango yao bungeni akina Msambatavangu, Chitanda and the like
 
Kwa sakata hili NI DONGO La kimya kimya kwa BASATA na WCB kwamba nyimbo yao haina maadili
 
Fanya vyote duniani hapa...ukiona nyakati imekutupa mkono ni bora utulie tuu...Dunia ndio inasepa hivyo...chukua miaka yako uliyonayo afu toa miaka 25 ndio ufikir ulikuwa kwenye mazingira gan na sa hivi upo kwenye mazingira gan...
 
Sisi ni jamii iliyoharibika.. huwezi ruhusu wimbo kama ule kwenye jamii iliyostaarabika, huwez! Tuna BASATA, tuna waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo wote wameridhia huo wimbo!
 
Ha ha ha ha mbona madogo wamefurahi tu na maticha wao wanajiachia kiroho safi. Stress free

Shida kwani ni wimbo au wanafunzi kucheza?

Au madogo wangeruka na lile goma la """mwenzenu mimi, ¶¶¶¶¶¶¶ sujui kutongoza ,¶¶¶ wakijipitisha ¶¶¶¶¶¶¶ namwaga helaaa ¶¶¶¶¶¶¶¶ asanteee""""" ¶¶¶¶¶¶¶¶¶¶¶¶¶¶

"Huyu demu wake nani ¶¶¶¶¶¶ anipandisha midadi ¶¶¶¶¶¶¶, anitafuta lawama ¶¶¶¶¶¶¶ mwambieni bwana ¶¶¶¶¶¶¶¶ asanteeeee ¶¶¶¶¶¶¶"""""""

Hili lenyewe ingekuwa Poa tu au sijaelewa.

Au hao mawaziri ndio Leo wanasikia hilo goma?
 
Kwa ubishi wa watanzania. Serikali ingeacha watu wafanye ujinga wao, halafu nature itwarudia waanze kulia na kutafuta suluhu. Ni Kama Ukimwi watu walipoona wanakwisha wakaanza kujilinda.
 
Kuna wadau humu wanasema waache watoto waburudike eti

Ova

Kizazi Cha nyoka hata ungefanyaje hawasikii. Serikali iwaache wafanye wanavyotaka ila mwisho wasianze kulalamika serikali. Maana miaka ishirini ijayo kwa kizazi hiki hata ndoa hazitadumu itakuwa full vurugu na mauaji.
 
Mpuuzi mmoja wa Wizara huko anahojiwa anasema hauna shida na ni wa siku yingi ila wasipigiwe watoto!
Hii nchi wamrudishe Carl Peters tuendelee naye, wameshindwa!
 
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…