Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu

Mbona namba zote 3, 6 na 9 baba lao ni key of universe inakuwaje hiyo 6 iuhusishe na adui?
 
Ahsante kwa maarifa, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Naomba undelete na somo hili
 
Aisee kuna album moja ya jay-z nnayo hapa inaitwa 4:44
nishajua maana yake
 
Kwa mujibu wa imani hasa ya kiislamu

Mida ya kuanzia saa tisa adi kumi na moja hv ni kuna time dua huwa haina kizuizi ikiombwa yaani inaenda moja kwa moja…..yaani kuna malaika wanashuka adi mbingu za karibu ya dunia kuangalia waja wenye kuomba muda huo…

Some point nakubaliana na mtoa uzi…
 
Aisee apa duniani ni kufata dini tu mana ukichambua dunia unaweza kuisusa shetan amekaa kila kona anyway jaman sijui lkn kwa uzito MUNGU ni mkubwa mno anaangalia tu tunavoangaika ndio mn kuna kuna watumishi wake ila akisema asimame mwenyew amna mtu atabaki kbs ni vile anatupenda ndio mn tunaona vitu kawaida
 
Mungu yupo available hawezi kuchukua hatua yoyote mpaka wewe ujue jinsi ya kumfikia. Ila yupo tuu.
 
INSHORT KUNA VITA KUBWA SANA INAENDELEA. HAKIKA SHETANI YUPO KAZINI KWELI KWELI.

Akasema, Simoni, Simoni, tazama, Shetani amewataka ninyi apate kuwapepeta kama vile ngano;

lakini nimekuombea wewe ili imani yako isitindike; nawe utakapoongoka waimarishe ndugu zako.
Luka 22:32
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…