Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio malaika,,,Mungu mwenyewe anashuka kusikiliza duaKwa mujibu wa imani hasa ya kiislamu
Mida ya kuanzia saa tisa adi kumi na moja hv ni kuna time dua huwa haina kizuizi ikiombwa yaani inaenda moja kwa moja…..yaani kuna malaika wanashuka adi mbingu za karibu ya dunia kuangalia waja wenye kuomba muda huo…
Some point nakubaliana na mtoa uzi…
kwahiyo 5:30 siyo muda mzuri kwa interview au inakuwajeThis one is for the people.
Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu. Ni Siri kubwa iliyofichwa katika namba. Toka binadamu anazaliwa huwa kuna namba maalumu ambazo initiates yoyote ambaye yupo kitendo anaweza kufahamu destiny yako. Namba ya kwanza MTU anayopewa IPO katika cheti cha kuzaliwa. Cheti cha kuzaliwa ni Sawa na certificate of incorporation ya kampuni. Namba zako asili ni Ile namba ya tarehe ya siku mwaka na mwezi uliozaliwa. Namba hizi ni muhimu sana kwa MTU. Kwani watu wengi Wana kuwa manipulated kupitia hizi namba bila wao kujua.
Siku moja ina SAA 24. Hizi SAA 24 zime gawanywa mara 2 na kuzifanya 12 X2=24. 12 mchana na 12 usiku. Hizi SAA 24 zima Siri kubwa kwa mafanikio ya binadamu. Leo mtoto wa aliye Juu zaidi nakupa baadhi ya Siri za watawala wa huu ulimwengu jinsi wanavyo manipulate watu bila wao kujua. Siri za ulimwengu zimefichwa kwenye namba 3,6,9 hizi namba Siri yake imefichwa ila Leo natoboa potelea Mbali jamii forum wakifuta huu Uzi wapo wachache wata u copy najua kabla hauja futwa.
Naanza na SAA 12 za mgawanyo wa masaa kwa asili ya manufaa ya RAFIKI yetu Mungu aliyejuu zaidi. Masaa mazuri kutoka kwa Mungu aliye juu zaidi Yana anzia SAA 10:10 usiku muda huu ndio mida Halisi ya siku kuanzia. Ukiwa macho muda huu ukiomba chochote kwa mungu aliyejuu zaidi unapata namnanisha chochote kile utakacho. Namba za mungu aliye juu zaidi ni 10:10,11:11,111,222,333,444, na 555 (hizi namba ndio 3,6, and9). Kuanzia muda wa SAA 10:10 usiku mpaka SAA 5:55 asubuhini masaa ya bahati nzuri utakuwa na nguvu ya mwili ,kutokuwa na uchovu kuwa na energy ya kufanya kazi na kutengeneza connection za pesa na kazi MbaliMbali. Mfano ukiitwa kwenda kazini interview hakikisha nyumbani unatoka kuanzia SAA 1:11 asubuhi na kufika hapo unapoenda kutafuta michongo ufike kuanzia SAA 2:22 kuendelea. Namba 111 ni namba ya manifestation na namba 222 ni connectivity. SAA 3:33 ni muda wa expression and creativity hapa ndio maarifa ya kujielezea na ku convince upate like unachokitaka. SAA 4:44 ni muda wa ulinzi hakuna kibaya kitakacho kupata muda huu. Ni muda wa kuomba ulinzi ili ukifika mida ya adui akukute uko na ulinzi.saa 5:55 ni muda wa mabadiliko baada ya mipango yako uliyoiseti kuanzia 3:33 ndio inaanzia kufanyiwa kazi na mungu aliye juu zaidi kwaiyo wewe expect mafanikio MDA wowote.
Kwahiyo ili uende Sawa na muda wa bahati kutoka kwa Mungu aliye juu zaidi Huna budi kubadilisha MFUMO WA MUDA kwenye kifaa chako ili uanze ku connect na most high. Weka muda wa Kiswahili kama SAA moja weka SAA moja kabisa sio SAA moja unaweka Saba. Saba ukitoka Moja inabaki sita hiyo ni namba ya adui. Kama ni SAA mbili weka Kiswahili mbili na usiweke nane kwakini ukiweka name ukitoka mbili zinabaki sita na namba sita ni ya adui. Kama ni SAA TISA weka Tisa ya Kiswahili ukiweka Tatu unamanisha wewe adui ndio anakuongoza siku yako kwani Tisa ukitoka Tatu inabaki sita ambavyo ni namba ya adui.
Mambo ni mengi muda ni mchache.
Itaendelea....
Una ushahidi ndugu..?!!Sio malaika,,,Mungu mwenyewe anashuka kusikiliza dua
Anashuka kutokea huko aliko
Sijaelewa unachopinga ni nini?Una ushahidi ndugu..?!!
tumeishaelewa hii kitu mkuu, sasa lete ushuhuda wako binafsi baadae muendelezo ulokusudiaThis one is for the people.

Kwahyo Allah yupo adi chooni au jalalani...?Sijaelewa unachopinga ni nini?
Kwamba Allah anashuka inamaana hayupo sehemu zote mpaka ashuke?
Au kwamba Allah ili asikie vizuri inabidi ashuke asogee karibu?
Au nini?
Mbona umekimbia tena mkuu?Mkuu hatuwezi kupoteza muda kuandika threads ninacho andikaga mm ni revelations take it or leave it
how? hebu weka ushahidi kidogo wa kimaandiko mkuu3.6.9 na. namba saba ni mungu mwenye na nafsi zake 7 ndo ukamilifu
Ushahidi nafsi zaba za Mungu ni biblia hiyo😅,, Mungu ni soul system,how? hebu weka ushahidi kidogo wa kimaandiko mkuu