Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu

Sio malaika,,,Mungu mwenyewe anashuka kusikiliza dua
Anashuka kutokea huko aliko
 
kwahiyo 5:30 siyo muda mzuri kwa interview au inakuwaje
 
Una ushahidi ndugu..?!!
Sijaelewa unachopinga ni nini?
Kwamba Allah anashuka inamaana hayupo sehemu zote mpaka ashuke?
Au kwamba Allah ili asikie vizuri inabidi ashuke asogee karibu?
Au nini?
 
tumeishaelewa hii kitu mkuu, sasa lete ushuhuda wako binafsi baadae muendelezo ulokusudia
nawasilisha
 
3.6.9 na. namba saba ni mungu mwenye na nafsi zake 7 ndo ukamilifu
 
Sijaelewa unachopinga ni nini?
Kwamba Allah anashuka inamaana hayupo sehemu zote mpaka ashuke?
Au kwamba Allah ili asikie vizuri inabidi ashuke asogee karibu?
Au nini?
Kwahyo Allah yupo adi chooni au jalalani...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…