Adui hatari nambari wani wa taifa letu Tanzania ni CCM, je unaafiki?

Tuacheni kuimba ngonjera tu ambazo hazisaidii kuondoa na kukifuta kabisa kirusi kiitwacho CCM,hawa jamaa hawana nia njema na ustawi wa afya ya Taifa letu,99% ni wachumia tumbo na wana unafiki wa hali ya juu.

Viongozi wengi wanafanya kazi ya kuridhisha na kufurahisha mtu mmoja hasa Mwenyekiti wao,kwa hali hii kama taifa hatutasonga mbele,rasilimali zetu zitabaki za wacache,Vijana tuna nguvu na uwezo wa kumfuta huyu mchwa aitwae CCM.
 
Hata sijasoma japo nimesoma kichwa cha habari.

Adui ni wewe mwenye mawazo mgando, vyama havisaidii chochote kwa mahala popote,adui ni mtu mvivu anaye chagua cha kufanya
Umejibu nini sasa kama hujasoma contents za uzi,nyie ndo mnaoimba nyimbo za kusifu na kuabudu huku maisha yenu yakiwa magumu,badirika Mkuu!
 
Adui wa ccm ni vitu viwili katiba mpya na uraia pacha.
Haitaki kabisa kusikia hivi ndo anguko lake.
Sawa na mchawi au jini ukimtajia jina la Yesu atakimbia vibaya sekunde nyingi.
Hivi havikuwepo kwenye maagano bagamoyo labda wafanye zindiko upya waviingize.
Wananchi shikeni hapo hapo katiba mpya na uraia pacha kabla awajazindika hawa.
Katiba mpya uraia pacha hichi Kirusi lzm kife.
 
hakika kifo cha meko ilikuwa furaha kubwa,
Ndio!
.
Ndio maana furaha hiyo imeendelea mpaka leo!

Matatizo yenu yameisha, maisha ni mazuri, hela mmejaziwa mifukoni mwenu, mnapumua sasa, mna uhuru wa kutosha sasa,

Hakika meko aliwaonea sana!

Mi 10 tena kwa Mama atake asitake
 
Ndio!
.
Ndio maana furaha hiyo imeendelea mpaka leo!

Matatizo yenu yameisha, maisha ni mazuri, hela mmejaziwa mifukoni mwenu, mnapumua sasa, mna uhuru wa kutosha sasa,

Hakika meko aliwaonea sana!

Mi 10 tena kwa Mama atake asitake
Mkuu kuwa serious bas kidogo!
 
Wenye akili tunakuelewa, lakini Imataga watakuja hapa kuharisha
 
Nafikiri shida siyo CCM ,shida nI aina ya watu tuliyowatengeneza anzia huko mashuleni.Mtu anasoma ili apate kazi siyo ajiajiri.Mwanasiasa wa Tanzania naona bila siasa hawezi kuishi.
 
Ndio!
.
Ndio maana furaha hiyo imeendelea mpaka leo!

Matatizo yenu yameisha, maisha ni mazuri, hela mmejaziwa mifukoni mwenu, mnapumua sasa, mna uhuru wa kutosha sasa,

Hakika meko aliwaonea sana!

Mi 10 tena kwa Mama atake asitake

na bora alikufa
 
Ila tunakoelekea nadhani itabidi JWTZ (TPDF) jeshi la wananchi wa Tanzania) liingilie Kati dhulma ya polisi na CCM dhidi ya Watanzania.
hakuna lolote....we unaweza ingia mtaani zaidi ya kuishia kwenye keyboard?.....shatap
 
Siyo Magufuli tena?

Mimi nilifikiri mbaya wetu hii nchi ni Magufuli, na hata zile shangwe za wana chadema baada ya kifo chake nilifikiri sasa mtajiona mko Newyork!

Mmakwama wapi mabavicha?
Tatizo lako tangia ume balehe unaishi kwa shemeji chumba cha uani, utajua wapi matatizo ya wa Tanzania.
 
ila kweli kuiongoza nchi hii ni rahisi sana ....i wish ningekuwa mwanasiasa ningeingia CCM ,ningejipatia kauongozi halafu ningewaburuza balaa
 

Unaweza kuhama nchi kama unakereka sana! tafuta nchi yenye uongozi unaopenda
 
Laiti nusu ya watanzania wangekuwa na fikra kama zako tungekuwa taifa lenye maendeleo. Ccm ni chaka la wezi na wavivu.
 
Adui namba moja ni UPINZANI maana wameshindwa kuisimamia serikali kwa hekima. Wamebaki kutukana na kulaumu kwa kila kitu.

UPINZANI wa Tanzania hauna credibility ndio maana CCM wanawa'outsmart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…