Adui Muombee Njaa

Nishtue ukiivisha!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Utajiumiza, acha hizo mambo za kufunga kabla afya haijatengemaa.

Pona kwanza.

BTW, leo uniombee kabla ya kulala, omba chochote kile.
Ntakuombea mchumba. Tatizo mchana kula siwezi tena. Leo nimejaribu kula apple. Kesho ntakula tena nione. Halafu nimepungua sasa
 
Ngoja niwapishe muombeane kwanza![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio adui umuombee kupenda,halafu huyo anaye mpenda akawa anampenda mtu mwingine ?
 
nini inakusibu hadi uwaze kiasi cha kupata vidonda tumbo?
hii hali haitakiwi ijirudie jmn
 
Sio adui umuombee kupenda,halafu huyo anaye mpenda akawa anampenda mtu mwingine ?
Hii nayo dhambii. Maumivu ya kupenda yanaweza kuzidi ya njaa
 
nini inakusibu hadi uwaze kiasi cha kupata vidonda tumbo?
hii hali haitakiwi ijirudie jmn
Hata sielewi na mimi ilikuaje maana sijaumwa nina miaka kama sita au saba. Ila weekend hii vimetibuka na naona havijatulia bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…