Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakuombea mchumba. Tatizo mchana kula siwezi tena. Leo nimejaribu kula apple. Kesho ntakula tena nione. Halafu nimepungua sasaUtajiumiza, acha hizo mambo za kufunga kabla afya haijatengemaa.
Pona kwanza.
BTW, leo uniombee kabla ya kulala, omba chochote kile.
Heri moja shika kuliko kenda nenda rudi.Usiache mbachao kwa msala upitao.
Utajiumiza, acha hizo mambo za kufunga kabla afya haijatengemaa.
Pona kwanza.
BTW, leo uniombee kabla ya kulala, omba chochote kile.
Ngoja niwapishe muombeane kwanza![emoji23][emoji23][emoji23]Ntakuombea mchumba. Tatizo mchana kula siwezi tena. Leo nimejaribu kula apple. Kesho ntakula tena nione. Halafu nimepungua sasa
Hakuna ninachoweza kula hapo kitandani?Nishakula tayari niko kitandani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio adui umuombee kupenda,halafu huyo anaye mpenda akawa anampenda mtu mwingine ?Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali
Ngoja niwapishe muombeane kwanza![emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa!Na wewe niombee...
nini inakusibu hadi uwaze kiasi cha kupata vidonda tumbo?Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali
Heri moja shika kuliko kenda nenda rudi.
Nimekukimbusha tu,hilo ndio ulikuwa umelisahau...!Hii nayo dhambii. Maumivu ya kupenda yanaweza kuzidi ya njaa
Sio yanaweza,bali yamezidi njaa. Hahahaha,kuna jambo nimekumbuka nimecheka sana !Hii nayo dhambii. Maumivu ya kupenda yanaweza kuzidi ya njaa
Wewe halitskuchekesha,hilo ni hasa kwa ajili yangu.Nichekeshe na mimi mkuu