Adui Muombee Njaa

Adui Muombee Njaa

Juzi kati nilipata maelezo mazuri kwanini watoto wa kike huwa wanatumia neno "mkuu" humu jf,japokuwa lina ukakasi.

Heshima kwake kwa yule aliyenipa maelezo yale.
Yalikua yapi hayo na mimi nijifunze?
 
Yalikua yapi hayo na mimi nijifunze?
Huwa sipendi mtoto wa kike aniambie mkuu,husemwa huwa mnatumia mkuu ili kubalance hali,sababu humu kuna watu wana vyeo,na heshima zao,wapo watu wasio julikana jinsia zao kama huyu wa kike au wa kiume, sasa kuondoa hali ya kukosea ndio huwa mnaliweka hilo neno.
 
Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali
Pole mkuu
 
Mi nimekula matunda saa tatu mpk sasa sisikii njaaa.

Ukizoea kushiba usiku, lzm upate tabu sanaaa
 
Mi nimekula matunda saa tatu mpk sasa sisikii njaaa.

Ukizoea kushiba usiku, lzm upate tabu sanaaa
Mi nakulaga chakula saa kumi na moja jioni tu. Niko kwenye kamfungo kasiko rasmi. Sasa juzi huo mfungo ukatibua vidonda vya tumbo na naona havijapon vizuri ndo maana jana njaa ikanishika kiasi kile.
 
Pole kwa janga la vidonda vya tumbo

Tafuna bamia mbichi (mkunaji hakikisha yupo karibu lakini)

Tafuna tango na maganda yake mara ukihisi njaa ya hivyo vidonda au mara tatu kwa siku asubuhi kabla ya kula chochote na mchana hivyohivyo na usiku pia

Hakikisha tango huliweki kwenye friji

Baada ya wiki 3 leta mrejesho hapa
 
Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali

Njaa inatibika kwani hata ukila tunda njaa inatoka ila gegedo ndo mwisho wa kila kitu. Mtu akishikwa na nyege anawehuka na ikitokea bahati mbaya kakosa mtu wa kugegeda naye anaanza kutafuta wanyama, watoto wadogo, matunda, na ujinga mwingine ili ajichue. Ukiwa kijijini na nyege imekushika, utakuwa radhi kutembea usiku kucha maporini huku ukipishana na wanyama wakali kwenda Kijiji cha pili kutafuta mtu wa kugegeda. Ukishajipigia vijigoli vyako unaanza kujuta na kujiliwaza ingekuwaje kama ungeliwa na simba ama chui? Nyege haina mbadala jamani, tuiheshimu daima. Mzigua90 upo free usiku huu, nije kwenu?
 
Back
Top Bottom