Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mzigua kikabila au manjonjo tu ?Sawaa
Ulale unono!Labda uje unile mimi. Karibu sana Mr. Romantic ule
Juzi kati nilipata maelezo mazuri kwanini watoto wa kike huwa wanatumia neno "mkuu" humu jf,japokuwa lina ukakasi.Kabila mkuu
Huwa sipendi mtoto wa kike aniambie mkuu,husemwa huwa mnatumia mkuu ili kubalance hali,sababu humu kuna watu wana vyeo,na heshima zao,wapo watu wasio julikana jinsia zao kama huyu wa kike au wa kiume, sasa kuondoa hali ya kukosea ndio huwa mnaliweka hilo neno.Yalikua yapi hayo na mimi nijifunze?
Pole mkuuJamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali
Mi nimekula matunda saa tatu mpk sasa sisikii njaaa.Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali
Mi nakulaga chakula saa kumi na moja jioni tu. Niko kwenye kamfungo kasiko rasmi. Sasa juzi huo mfungo ukatibua vidonda vya tumbo na naona havijapon vizuri ndo maana jana njaa ikanishika kiasi kile.Mi nimekula matunda saa tatu mpk sasa sisikii njaaa.
Ukizoea kushiba usiku, lzm upate tabu sanaaa
nawaza tu nisipofanikiwa je? 😂😂😂 si adui atakuwa kashinda ...ngoja nimuombee njaa tu afe mapemaaaaa 😂😂😂Adui muombee afya njema na maisha marefu aishi na kuona mafanikio yako
Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali
Una hela mkuu. . Unakula hadi njegere. . Hizo nazisikiaga tuuNimepika wali nimepasha na njegere zilikua kwenye fridge.