Adui Muombee Njaa

Adui Muombee Njaa

Huku kwetu misosi inapatikana kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa kumi usiku.
Pia unaweza nunua vyakula vinavyopikika chapchap kama tambi,macaroni,supu zile za kwenye pakti kama knorr etc
Huko kwenu kuzuri
 
Muda mfupi ndo muda gani*?
Swali zuri sana,ni ule muda mfupi kwa wote,muda mfupi bibie ni maarufu sana,mpaka ukafikia kutokuwa na haja ya kuulezea,sawa sawa na mimi nikuulize maji nini,kila mtu anajua maji nini.

Nauhakika umenielewa.
 
Hata sijakuelewa.
 
Back
Top Bottom