Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza kuonesha nidhamu ya uoga kwa adui zako Mzigua90 enh [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahaaa.. Mange hafai adui mwenyewe anaweza akaomba nimuombee njaa sio kumpambanisha na dada
Shilingi ngapi ?Uje na hela ya kunilipa kabisa nikikufundisha
Nilijipa likizo fupi ya kuchangia humu jf,ili nijikite vyema katika kusoma maoni ya watu. Ila swali lako limetengua kwa muda likizo hii.Uje na hela ya kunilipa kabisa nikikufundisha
Vipi kuhusu Venue ?Elfu 30
Poa,nasubiri ruhusa yako !Venue so pm
Nakuja. Ila hela sina,wewe nikirimu tu unipe hiyo elimu.Karibu
Kuwa na huruma bibie....!Kama huna tuition fee usije
Kam vipi fanya mkopo,nikipata hela nitakulipa tu niamini. Hiyo elimu naitaka sana,si unajua sisi ni wafia elimu.Kama huna tuition fee usije
Hapana tamaa isio na tija ndio huzaa dhambi.Huruma huzaa dhambi
Unayoikusudia wewe sio huruma ni tamaa.Huruma huzaa dhambi
Vipi nije hela ?Huruma huzaa dhambi