JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,114
- 3,541
Naam, nimefuatilia miaka mingi kuona utendaji wa vyama tawala Afrika ni kama vimejisahau vinafanya mambo kijinga kabisa. Hii mara nyingi husababishwa na kutafuta fedha kwaajili ya uchaguzi ili kuhonga wapiga kura. Kilicho fanywa na serikali ya CCM Tanzania ni mfano wa mawazo ya hovyo kabisa.
Kuna uwezekano mkubwa wameuza bandari zetu kwa DPW ili wapate fedha za uchaguzi 2025.
Sasa hivi ramani ya Tanzania ikichorwa kama ukitoa maziwa yote na bahari tunabaki na nini?
Tuna viongozi wa hovyo ndani ya CCM kuliko kawaida.