JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,114
- 3,541
Bora kipindi mapinduzi ya kijeshi yalipo kuwa yameshamiri, kidogo walikuwa wanatumia akili wakihofia kupinduliwa au kuuawa kabisa.Kwamba lini viliacha kuwa Adui?
Angalia mfano hai pale South Afrika, linganisha maendeleo kabla ya 1994 na maendeleo baada ya 1994
Wanao sababisha haya ni polisi na usalama Wa Taifa. Kuwalinda wajinga ni kuhalalisha uovu wao. Hapa wameuza Nchi na Mali zake ili wapate fedha za uchaguzi.Serikali za majizi.
Kweli vyama vikongwe kama CCM vimejenga mfumo mbovu na havina tena dhamira nzuri kwa waafrika.Naam, nimefuatilia miaka mingi kuona utendaji wa vyama tawala Afrika ni kama vimejisahau vinafanya mambo kijinga kabisa. Hii mara nyingi husababishwa na kutafuta fedha kwaajili ya uchaguzi ili kuhonga wapiga kura. Kilicho fanywa na serikali ya CCM Tanzania ni mfano wa mawazo ya hovyo kabisa.
Kuna uwezekano mkubwa wameuza bandari zetu kwa DPW ili wapate fedha za uchaguzi 2025.
Sasa hivi ramani ya Tanzania ikichorwa kama ukitoa maziwa yote na bahari tunabaki na nini?
Tuna viongozi wa hovyo ndani ya CCM kuliko kawaida.
CCM,ZANUPF Zimbabwe na SWAPO Namibia hivi vyama yamepitwa na wakati vinatakiwa vitoke madarakaniNaam, nimefuatilia miaka mingi kuona utendaji wa vyama tawala Afrika ni kama vimejisahau vinafanya mambo kijinga kabisa. Hii mara nyingi husababishwa na kutafuta fedha kwaajili ya uchaguzi ili kuhonga wapiga kura. Kilicho fanywa na serikali ya CCM Tanzania ni mfano wa mawazo ya hovyo kabisa.
Kuna uwezekano mkubwa wameuza bandari zetu kwa DPW ili wapate fedha za uchaguzi 2025.
Sasa hivi ramani ya Tanzania ikichorwa kama ukitoa maziwa yote na bahari tunabaki na nini?
Tuna viongozi wa hovyo ndani ya CCM kuliko kawaida.
Actually kama hii CCM ilitakiwa tuwe tumesahau toka 2015.CCM,ZANUPF Zimbabwe na SWAPO Namibia hivi vyama yamepitwa na wakati vinatakiwa vitoke madarakani
CCM hawa wamefika mahali kuona hata Tanzania ni yao. Jeshi lipo tu. Natamani siku moja wakutane na mapinduzi ya kijeshi ili akili ziwakae sawa.Kweli vyama vikongwe kama CCM vimejenga mfumo mbovu na havina tena dhamira nzuri kwa waafrika.