Adui wa mwanadamu duniani

1 wakoritho 15:26 inasema hivi; (adui wa mwisho atakaye batitilishwa ni mauti) hapa ina maana Mungu atakuja kumuondoa kwanza ibilisi adui mkubwa ndo kifo kiondolewe,. nimeamua kutumia andiko la biblia kwa sababu hii mada iko ki spritual zaidi.
 
you can't go against nature

Teh teh teh

You can't Go Against Nature.Well
You sound Like very Wise Guy Mr rajabkisauti

Anyway,Let Me Ask you A simple Question My Brother;

You've said that One Can't Go Against nature,But Do you Know that,Nature Itself Ensure the Balance For Everything?Do You Know what Exactly I Mean From that Question?
 
Last edited by a moderator:
Our Deepest Fear is not that we are inadequate,our deepest fear is that we are powerful beyond measures,it's our lights and not the darkness that most frighten us.
 
Kuna watu wenye mateso ya aina mbali mbali hapa duniani hawa watu hutamani kifo kuliko hayo mateso yaani huona kifo ni nafuu kuliko hayo mateso.. Sidhani kama kifo ndiye adui namba moja wa binadamu
 
1 wakoritho 15:26 inasema hivi; (adui wa mwisho atakaye batitilishwa ni mauti) hapa ina maana Mungu atakuja kumuondoa kwanza ibilisi adui mkubwa ndo kifo kiondolewe,. nimeamua kutumia andiko la biblia kwa sababu hii mada iko ki spritual zaidi.

Fafanua .. !
 
kile kidhiirishacho uepo wa mungu ni pale binadam wato wanapo jichanganya mtu wa kwanza katoka wapi
 
Very tricky qustion within a question...mr eistern umeanzia mbali kidogo sjakuelewa unamaanishani
 
Last edited by a moderator:
Very tricky qustion within a question...mr eistern umeanzia mbali kidogo sjakuelewa unamaanishani

Every creature Need to have a weakness in order to Balance the Nature,sijui Umenielewa?

Mfano kwenye Bailogia,kuna kitu kinaitwa Ecosystem
Ecosystem ni Mfumo unaoonyesha Jinsi Gani viumbe vinategemeana.
Mathalani,tuna viumbe vinne;Simba,swala,Majani,na Bacteria
Viumbe Hivi vyote vinategemeana,na kila kiumbe kina Udhaifu wake

Udhaifu wa Majani ni kuliwa na swala
Udhaifu wa swala ni kuliwa na simba
Udhaifu wa simba ni kuuliwa na Bacteria
Na udhaifu wa Bacteria ni simple structure yake inayomzuia kuishi kwa Mda mrefu.

kwahiyo lazima kila kiumbe kiwe na udhaifu ili kubalance Ecosytem
swala wasingekuwa wanaliwa na simba,basi idadi yao ingekuwa kubwa sana kuliko majani.kwasababu majani ndiyo chakula chao kikubwa
wengi wangekufa kwa njaa.
so udhaifu wao unabalance Idadi yao

so I ask you Again,Do you believe Nature Ensure the Balance for Everything?
 

Hivi huyo Shetani/ibilisi ni nani?

Pili tunakufa sababu tulizaliwa (kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho) hakuna yoyote alieumba kifo, si wewe wala Mungu wako unaemsimulia hapa.

Tatu naomba uniambie kizuizini ni wapi? Kuhusu kurudisha uhai mbona hata wanaodai Mungu yupo hawajawahi kurudisha uhai walipokufa? Kwasababu wote tupo hapa kukamilisha kanuni moja tu kuwa kila mwanzo una mwisho. Na unajuaje kama haturudi tena duniani?
Usisahau kunijibu SHETANI/IBILISI ni nani na kizuizini ni wapi?
 

Hizo jitihada za kukishinda kifo zinafanyikia wapi? ( naomba ushahidi)

Uthibitisho wa uadui wa kifo mana mi toka nizaliwe sijawahi kuona kama kifo ni Adui
 

Kwa mantiki yako ninahuakika unataka kusema kwamba Mungu ndo muweza wa yote na ni rafiki yetu mwema.....hoja yangu kwa nn aliliumba hili li shetani/ibilis?
 
Kwa mantiki yako ninahuakika unataka kusema kwamba Mungu ndo muweza wa yote na ni rafiki yetu mwema.....hoja yangu kwa nn aliliumba hili li shetani/ibilis?

Mkuu,kitu nilichojifunza kwa Hawa wenzetu,ni kwamba wana Majibu Mepesi kwenye Maswali Magumu kama Haya

Mungu anajua yote yatakayo tokea Kabla Hayajatokea
Alijua Fika Madhara ya Ibilisi lakini Bila sababu yoyote ya Maana Akaamua kumuumba

Wanamuita Mungu mwenye upendo,lakini wakati Huohuo Anaanda Jehanum kwa Makosa aliyoyafanya yeye Mwenyewe.Lol
 

Tumia AKILI zako nyingi ulizonazo kujifunza kupitia Qur'an kufahamu ni kwann wanadamu na MAJINI wameumbwa. Itakusaidia sn. Usipojifunza kitu na ukabaki na msimamo wako huo huo. Basi tunga na wewe Kitabu chako cha dini/mfumo wa maisha kitakachofanana na Qur'an. Ukifanikiwa, basi utakuwa sawa ktk Imani yako ya kutokuamini uwepo wa Mungu
 

Kuamini uwepo wa Mungu hakuleti maana ya kuwa na uwezo kwa mwenye kuamini KUJIRUDISHIA UHAI. Ni kanuni ya Imani kuumbwa, kuzaliwa, kuishi na kufa.
 

Hakuna kitabu cha Hovyoo kama Hicho ulichonishauri Nisome.

Na siyo Mimi tu,Hata Mtoto wa shule ya Msingi anaweza kutunga kitabu Bora kuliko Quran.
 

Mkuu kwasababu wewe umesoma hiyo quran naomba kufahamu kwanini wanadamu na majini wameumbwa, ikiwezekana na ufafanuzi pia kuwa majini ni nini?
Natanguliza shukrani zangu za dhati....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…