Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Hakuna kitabu cha Hovyoo kama Hicho ulichonishauri Nisome.
Na siyo Mimi tu,Hata Mtoto wa shule ya Msingi anaweza kutunga kitabu Bora kuliko Quran.
Mkuu huu ukweli hakuna anaetaka japo kuusikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitabu cha Hovyoo kama Hicho ulichonishauri Nisome.
Na siyo Mimi tu,Hata Mtoto wa shule ya Msingi anaweza kutunga kitabu Bora kuliko Quran.
Hakuna kitabu cha Hovyoo kama Hicho ulichonishauri Nisome.
Na siyo Mimi tu,Hata Mtoto wa shule ya Msingi anaweza kutunga kitabu Bora kuliko Quran.
Mkuu kwasababu wewe umesoma hiyo quran naomba kufahamu kwanini wanadamu na majini wameumbwa, ikiwezekana na ufafanuzi pia kuwa majini ni nini?
Natanguliza shukrani zangu za dhati....
Haya ni Maswali yangu Kwa mleta Mada;
kifo Ni Kitu HALISI Mpaka kiwe Adui Yetu?au ni Mbinu tu ya Uandishi?
Pia umesema kuwa Mungu hakuumba kifo,kwanini Hakuumba kifo wakati yeye ndiye Muumbaji wa Kila kitu?
Every creature Need to have a weakness in order to Balance the Nature,sijui Umenielewa?
Mfano kwenye Bailogia,kuna kitu kinaitwa Ecosystem
Ecosystem ni Mfumo unaoonyesha Jinsi Gani viumbe vinategemeana.
Mathalani,tuna viumbe vinne;Simba,swala,Majani,na Bacteria
Viumbe Hivi vyote vinategemeana,na kila kiumbe kina Udhaifu wake
Udhaifu wa Majani ni kuliwa na swala
Udhaifu wa swala ni kuliwa na simba
Udhaifu wa simba ni kuuliwa na Bacteria
Na udhaifu wa Bacteria ni simple structure yake inayomzuia kuishi kwa Mda mrefu.
kwahiyo lazima kila kiumbe kiwe na udhaifu ili kubalance Ecosytem
swala wasingekuwa wanaliwa na simba,basi idadi yao ingekuwa kubwa sana kuliko majani.kwasababu majani ndiyo chakula chao kikubwa
wengi wangekufa kwa njaa.
so udhaifu wao unabalance Idadi yao
so I ask you Again,Do you believe Nature Ensure the Balance for Everything?
Tatizo la msingi ni kutaka kujifunza vitu kwa kusikia. Kitabu kipo, tena kimetafisiriwa ktk Lugha nyingi. Kwann usitumie Muda kidogo kukisoma? Kisome, ukikwama uliza ufafanuliwe.
Vinginevyo basi kweli una shida km hujui malengo ya kuumbwa, na majini ni nini haswa.
Em tuone uhovyo wake
Mkuu quran ina mapungufu kuliko unavyoweza kufikiria labda kama hujaipitia.
Quran 7: 54 Allah anasema aliumba dunia kwa siku 6
Quran 10:13 anarudia kusema aliumba dunia kwa siku 6
Ukisoma 41:9 anadai aliumba dunia kwa siku 2
Tukiendelea hapo kidogo 41:10 anadai aliumba kwa siku 4, ukisogea kidogo hapo 41:12 anasema aliumba mbigu zote Saba kwa siku 2
Hivi hili we unalizungumziaje? Au huyu allah ni muongo?
Ulishauliza wajuzi wakufafanulie ukashindwa KUELEWA? Au ulijisomea km gazeti?
Em tuone uhovyo wake
Mbona mistari imejitosheleza vizuri tu. Acha longolongo we Sema tu Allah aliumba dunia kwa siku ngapi basiiiiiii......
Ulishauliza wajuzi wakufafanulie ukashindwa KUELEWA? Au ulijisomea km gazeti?
Yes i believe 100%...au mr hukunielewa mwanzo naona unazungumza sawa na mawazo yangu nilivyosema ...NATURE CONTROL EVERITHING NA NDO MANA NKASEMA "THINGS CAN NOT GO AGAINST NATURE"..au nimekosea mimi kukuelewa...einstern unatumia high profile...tumia low profile..mimi kilaza.
dunia hii kuna adui moja tu ambaye ni tishio kwa mwanadamu. Adui huyo hakuna mwanadamu anayeweza kumshinda licha ya kuwa mwanadamu hufanya jitihada za kila namna kumwangamiza lakini jitihada hizo hukwama.
Kifo.
Kifo ndiye adui mbaya na hatari katika maisha ya mwanadamu, kamwe hakuna aliyeshinda kifo kwa uzao wa mwanadamu wala hatotokea atakayeshinda kifo.
Kifo haijaletwa na mwenyezi mungu duniani, mungu alituumba tuishi milele lakini uasi ndio imeleta kifo duniani.
Hakuna anayempenda huyo adui lakini hakuna namna ya kumshinda.
adui mkubwa wa mwanadamu ni ujinga(lack of knowledge) na sio kifo, maana kukosa maarifa ndio kunatufanya wanadamu hasa waafrika tunateseka kama tunavyoteseka sasa hividunia hii kuna adui moja tu ambaye ni tishio kwa mwanadamu. Adui huyo hakuna mwanadamu anayeweza kumshinda licha ya kuwa mwanadamu hufanya jitihada za kila namna kumwangamiza lakini jitihada hizo hukwama.
Kifo.
Kifo ndiye adui mbaya na hatari katika maisha ya mwanadamu, kamwe hakuna aliyeshinda kifo kwa uzao wa mwanadamu wala hatotokea atakayeshinda kifo.
Kifo haijaletwa na mwenyezi mungu duniani, mungu alituumba tuishi milele lakini uasi ndio imeleta kifo duniani.
Hakuna anayempenda huyo adui lakini hakuna namna ya kumshinda.
Kwa mimi huyo adui uliyemtaja sio...Adui unweza kumuepuka adiu unaweza kumshinda au laa!! Kifo ni fate haukwepiDunia hii kuna adui moja tu ambaye ni tishio kwa mwanadamu. Adui huyo hakuna mwanadamu anayeweza kumshinda licha ya kuwa mwanadamu hufanya jitihada za kila namna kumwangamiza lakini jitihada hizo hukwama.
KIFO.
Kifo ndiye adui mbaya na hatari katika maisha ya mwanadamu, kamwe hakuna aliyeshinda kifo kwa uzao wa mwanadamu wala hatotokea atakayeshinda kifo.
Kifo haijaletwa na MWENYEZI MUNGU duniani, MUNGU alituumba tuishi milele lakini uasi ndio imeleta kifo duniani.
Hakuna anayempenda huyo adui lakini hakuna namna ya kumshinda.
Kila nafsi itaonja umauti..Huyo ni muumba. Mwandishi Kachapia kidogoHaya ni Maswali yangu Kwa mleta Mada;
kifo Ni Kitu HALISI Mpaka kiwe Adui Yetu?au ni Mbinu tu ya Uandishi?
Pia umesema kuwa Mungu hakuumba kifo,kwanini Hakuumba kifo wakati yeye ndiye Muumbaji wa Kila kitu?