Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana.
Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake kaona kaolewa.
Kuwafanyia wanawake wengine fake life kupitia mitandao ya kijamii yani wanawadanganya wao superwomen wakati hata supermen mwenyewe tuna muona kwenye movie.
Kushauriana hapa ndio penyewe kuna kipindi kipo chanel kinaitwa dadaz yani kama mwanamke anakifatilia anaweza kujikuta kaharibu kila kitu.wale wasimbe msipo washtukia wanataka mfanane.