Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

Ni sahihi unachokisema mkuu. Hapo kwenye uvumilivu nadhani ndio backbone ya ndoa, maana unavumilia for the rest of life, not only for few years.
Yes brother, mpaka unakuta baba na mama zetu wanafanya jubilee ya miaka 40 ya ndoa, haloo sio mchezo hata kidogo. Kunakuwaga na ups na downs nyingi sana zimetokea hapo kati lakini wanazidi kuvumiliana kwa maana kila mmoja ni size sahihi ya mwenzake.
 
Ndoa ni taasisi nzuri sana! Inapendeza kuwa responsible Dad/Mom! Unakua na mtu wa ku-share nae ups and downs though sio kila kitu nichakumwambia Mke wako. Sina maana ya kuweka mipaka ila Nina maana kuwa zile petty issues zimalize mwenyewe!

Changamoto zipo tu wala haziepukiki
 
Thanks mkuu. Ni kwa namna gani mmeweze kuishi 10+ years of marriage bila kashkash kubwa za kuitikisa ndoa yenu? I mean how do u avoid kuchokana, visirani n.k. Nini kinachowaweka pamoja na upendo kubaki as if ndio mmeoana?
Kuna ile kupuuzia mambo,yaani kujifanya mjinga,hasa mke wangu kisirani,na huwa hapendi kushindwa jambo,hivyo huwa nampa ushindi kwenye mgogoro unapotokea,pia hata akikosea msamaha naomba mimi,yeye akikosea haombi msamaha hata iweje,hujiona yupo sahihi,anapenda kuwa juu,hata hapa home panajulikana kwa " mama fulani", jambo la kwanza kupuuzia baadhi ya mambo,kujishusha.

Lingine hatujawahi kuwa na mgogoro unaohusu uchepukaji,yaani hatujawahi kuwa na mtu ambae anaweza kuonekana zaidi ya mwenza wako.

Tatu,ni uvumilivu,tunapitiaga magumu sana ya kukatisha tamaa,lakini mwisho wa siku yanapita na kutuacha na mafunzo huku tukiwa pamoja.

Uhuru, hatunaga mambo ya kufatiliana kwenye simu wala sijui ulikuwa wapi? Kwa umri wetu wa kati hakuna kigeni..kama mtu kuna jambo anataka kufanya hakuna kitakachomzuia,hivyo tuko huru sana.kuna mipaka inajulikana tumewekeana,hivyo ni kujitambua tu kutoivuka.

Na mengine mengi...
 
Quoting huo mfano wa bro wako aliyepata mke kwenye harusi inaelezea kabisa kwamba kuoa na kuolewa ni bahati tu,
Nothing more nothing less
 
hapo nimekuelewa
 
Mpaka watu wanaoana, au tuseme mpaka mwanaume anaamua kumuoa mwanamke fulani, huwa naamini upendo ndio sababu ya kwanza. Ila still ndoa nyingi zimekuwa zikivunjika, na zilizopo zinalega lega.
Kuna upendo,na upendo wa dhati... upendo wa kawaida una vitu vingine vya ziada vinavyosababisha ndoa kuwepo, mfano,pesa,u handsome,chura,elimu n.k,
Huu upendo huchoka hasa baadhi ya mambo yanapopungua au kuisha,baada ya miaka fulani, ndio ambao huwa wamoto wenye kuachana ,kuuana,kufumaniana n.k

Huu wa dhati hauna mwisho,unaweza kufirisika,kupata ulemavu,n.k lakini hakuna kuachana,mpaka kifo.
 
Katika dunia hii hamna mtu ambaye yuko sahihi % zote,lakini kuna yale ambayo mtu anaweza akayabeba kulingana na alivyo,kumkubali na kuishi na mtu bila kuangalia madhaifu ya mwenzio inaleta furaha katika ndoa,na unapomfahamu mwenza wako nini hataki au hapendi ukaendana naye basi mambo mengine ni madogomadogo,NDOA NI VILE WEWE UNAPENDA IWE,sio ya wazazi wako,rafiki zako wala ndugu zako,tengeneza misingi ya ndoa yako utaenjoy.
 
If I was to change anything in my marriage, these are the things I would have changed.
1. My husband was the first man in my life. He was my boyfriend and married me. That I don't regret. I kept myself intact. Ila we were together too long. We shouldn't have done that. We should have gotten married sooner.

2. I should have made some good female friends and kept them. You need good friends after marriage. I relied on my husband to make me happy and for the most part of my marriage I was lonely when he was at work.

3. My husband was only human. He is from Mars and we women are from Venus. Men can never be women and women can never be men. You cannot make a man think like you... We are wired differently.

4. Even after marriage you continue to be different individuals. Just because the Church unites you to be one it doesn't mean all your personalities are blended into one. Things on the ground are fairly different. Keep each of your hobbies and interests as long as the union is not affected.

5. Keep evolving. Keep getting better for you and for your marriage and family. Better yourself in all aspects. Marriage doesn't grow old, we do.

6. Keep God first in all your matters. Talk to God about the man you love so much. Tell God what you love about him, his little shy smile.... His infectious laughter... His silliness. Talk to God about His weaknesses, the things that make you strangle him in the middle of the night, lol. And Pray to God to take care of these little things.

7. Touch your husband. Kiss him. Pinch his cheeks. I loved to squeeze my husband's balls when he passed near me. I love the feeling of balls with no boxers underneath.🙈🙈🙈

8. Before you start shouting about your problems to any person other than your husband and God think twice. His parents at the end of the day are still his parents, your pastor has his own problems with his wife and your friends might not be married in the first place. Fight for your marriage before God, on your knees before involving anyone else.

9. When you need motivation/ positive vibes regarding marriage look at the marriages that worked. Be optimistic. Pessimism never made a marriage. Refuse to let go of your marriage.

10. Forgive, Forgive, Forgive. Our husbands are like little kids sometimes . Without forgiveness, we have a long way to go.
 
Ni sahihi unachokisema mkuu. Hapo kwenye uvumilivu nadhani ndio backbone ya ndoa, maana unavumilia for the rest of life, not only for few years.
Kwa yale chanya tu,but kwa hasi hapana
 
I really do understand you, and I hope everyone does
 
Sawa
 
Watazame myoyo yao inataka nini wafuate ichoicho,wakiangalia jamii inasemaje au ina mtazamo gani..watajikuta wameingia kichwakichwa na kuvuruga amani ya moyo wao
 
1. mtu asithubutu kuoa MWENYE IMANI YA DINI TOFAUTI NA YAKE... HAIJALISHI KAMA WOTE NI WAKRISTO AU WAISLAMU... Ile tofauti ya IMANI, inaweza ikakuharibia ndoa... mfano, mwenzio kaokoka lakini wewe hujaokoka au ni mkatoliki... utamwambia nini kuhusu BIKIRA MARIA AELEWE..!? Siku moja hilo na la salamu kanisani litawaharibia ndoa


2. Kila mmoja aachane na kuishi na mwenzie kama mtuhumiwa... yaani unasachi simu, handbag, suruali, laptop etc kisa unatafuta makosa. Usiishi na mwenzio kama refa kwenye footbal.. kwamba unatafuta makosa tu

3. Kubaliana na mwenzio namna ya kuishi/ku-handle ndugu... unapofukuza ndugu wakati hujui kama mafanikio aliyonayo mwenzio yametokana na ndugu huyo, UTAHARIBU NDOA

4. Kuna tabia, mwenzio hawezi acha hata iweje..!! Yaani yupo tayari ndoa ivunjike kuliko kuziacha tabia hizo... ISHI NAZO

5. Usisahau, mwenzio ana marafiki aliokuwa nao kabla hamjaoana... Ndoa yako isije ikawa sababu ya yeye kuachana na marafiki zake. KIFUPI, msipangiane marafiki... We mtu amesoma primary miaka 7, o-level miaka 4, A-level/FTC miaka 2/3 na CHUO KIKUU MIAKA MITATU/MINNE AU MITANO kutegemeana na kozi, unategemea asiwe na marafiki..!?
 
Ndoa bhana ni kitu tata sana wakuu!!!!mtu aoe kwa matakwa yake na si kulazimishwa.

Mimi nimeishi na mwanamke kwa miaka 8 ila nimemuacha yapata miezi 3 sasa na siku 4.tulibahatika kupata watoto 2(ke/me),ila changamoto mi nilikuwa nazo tangu mwanzo huku mwisho uvumilivu ukanishinda ikanibidi kila mmoja achukue hamsini zake.

Mwanamke hakuna unachompa akafanikiwa.ni lazima afeli,hajui kujisimamia ila haya yote niliyakubali sababu ni chaguo langu mwenyewe sikulazimishwa na mtu.

Nimemuacha sababu ya kunipangia masharti ya kurudi nyumbani kuzidi,na kuninyima unyumba kupindukia.

Nikaona tunakozidi kwenda kutakuwa kubaya zaidi,kiroho safi kaniachia wanangu na uzuri hajawahi hata kuwaandaa kwenda shule ni majukum ambayo nilikuwa na ninayafanya mwenyewe nikaona poa tu.

Niko na wanangu miezi mitatu sasa hawajawahi kuuliza mama yao yuko wapi wala anarudi lini.tunaishi nafurahi nao safi kabisa.

Cha ajabu na nilichokuja kujua nilikuwa naishi na kichwa box leo hii kaenda kuwa house maid sehemu daah!!! Kaacha wanae ambao hajawahi kuwaanda kwenda shule,kaenda kuwaandaa wa mwanamke mwenzie.

Wakuu kuoa ruksa ila angalieni mnapooa/kuolewa.hii taasisi ni pana na ngumu mno.
 
Hii reply utabid niiprint afu niiweke ukutan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…