Nadhani wengi wanapenda kuoa mapema, ila mazingira ndio yanawabana. Ni nadra sana kukuta mwanaume anaoa ni early 20's. Ila all in all unachoongea ni points.Bible kwenye Mithali 5 nadhani kuna mistari inasema hivi "heri kuwa wawili kuliko mmoja maana wapata ijara njema kwa Bwana, tena walalapo wawili wanaweza kupata joto, ni rahisi kuvunja kijiti kimoja kuliko vitano" haya maneno hayako hivyo ila yapo kwa mtindo huo.
Nimekuelewa sana dada angu.Big mistake unatakiwa ufanye vitu ambavyo unaweza kuvimaintain ili baadae isilete mtafaruku ukiwa huvifanyi ndio unaonekana muongo kwasababu rangi zako za ukweli zinaanza kuonekana!Kwenye mahusiano yote nashauri watu wawe wakweli na wawazi iwezekanavyo!
Ndio maana nikasema, real life experience ni muhimu sana, thats why nikataka kujua kutoka kwa wadau waliopo kwenye ndoa tayari.You can read all about marriage but the real test is when you get married and your marriage lasts 5-8 years.
Nimekuelewa vizuri mkuu.Yes brother, mpaka unakuta baba na mama zetu wanafanya jubilee ya miaka 40 ya ndoa, haloo sio mchezo hata kidogo. Kunakuwaga na ups na downs nyingi sana zimetokea hapo kati lakini wanazidi kuvumiliana kwa maana kila mmoja ni size sahihi ya mwenzake.
Watu wanaamini eti hadi uwe na nyumba, uwe na gari, sijui uwe na uwekezaji gani ndio uoe. Kwa mtazamo wangu ni mistake kubwa sana ila kwa leo wacha tumalize kwanza IddNadhani wengi wanapenda kuoa mapema, ila mazingira ndio yanawabana. Ni nadra sana kukuta mwanaume anaoa ni early 20's. Ila all in all unachoongea ni points.
FactsUshauri wa bure kwa vijana wa kike na wa kiume ukiwa upo katika harakati za kutafuta jiko hakikisha unaoa/unaolewa mtu ambae unaweza kuvumiliana nae na anayekubali mapungufu yako na anakukubali jinsi ulivyo(anakuheshimu).
Muhimu kati ya yote upendo uwe nanga kuu.
Mkiwa katika mahusiano be yourself's usijifanye kila kitu kiwe perfect kuridhisha upande mwengine (fake personality) show your true selfbeing.Hakuna aliyekamilika ila mwenye upendo wa dhati atakukubali jinsi ulivyo.
Watoto hawajawahi kuuliza mama yuko wap na anarudi lini daaah🤣🤣🤣🤣Ndoa bhana ni kitu tata sana wakuu!!!!mtu aoe kwa matakwa yake na si kulazimishwa.
Mimi nimeishi na mwanamke kwa miaka 8 ila nimemuacha yapata miezi 3 sasa na siku 4.tulibahatika kupata watoto 2(ke/me),ila changamoto mi nilikuwa nazo tangu mwanzo huku mwisho uvumilivu ukanishinda ikanibidi kila mmoja achukue hamsini zake.
Mwanamke hakuna unachompa akafanikiwa.ni lazima afeli,hajui kujisimamia ila haya yote niliyakubali sababu ni chaguo langu mwenyewe sikulazimishwa na mtu.
Nitakupa elimu baadae nikiweka kfurushi maana Nina mi nimemezeshwa gb za kutosha kichwaniAchana na ile misemo ya mtaani, kwamba kama unapata kila kitu kwenye mahusiano, basi ndoa haina umuhimu. Au wale wanaosema ukishamuweka ndani basi anaota mapembe.
Ukweli ni kwamba huwa inafikia point in this life unahitaji kusettle down. Kwamba hata kama ni kichomi au
Njoo chukua zawadi aiseeeNinachofahamu mimi ni kwamba, kila mwanamke (mwanadamu) ana changamoto zake lakini mke mwema ni yule ambaye unaweza kubebeana changamoto zenu. Kama hauwezi kuzibeba changamoto zake achana naye huyo sio ubavu wako.
Kama unamjua tangia kipindi cha uchumba kwamba yeye ni mvivu/mchoyo lakini unaweza kuvumilia uvivu/uchoyo wake, basi huyo ndio size yako, mchukue kaa naye.
Yangu mimi ni hayo tu kaka mkubwa.
Nitumie PM mkuuNjoo chukua zawadi aiseee
Kulala nayo usiku kucha, yani najiona nimeyapatia haya maisha....