Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

Aise!
 
Leta nondo mkuu
Kwanza niwaombe radhi baadhi ya Wana jf maana Kuna waliooa na wale ambayo hawajaoa ama kuolewa yawezekana maneno yangu yakawakwaza lakini ukweli ndo huo
1 enzi zile kbla ya kutoa ulifanyika uchunguzi wa kina kwa muoaji au muolewaji ili kujua tabia
2 magonjwa ya kurithi Kama ukoma kifafa na mengineyo
3 uvivu na uzinzi pia wizi
Kuhusu kuoa usikurupuke kuoa make ambae kwao Wana maswali Kama haya,
Unafanya kazi wapi na kazi gani hapo fahamu siku ukifukuzwa kazi Basi ujue make nae lazima akuache
2 una nyumba au Mali na Mambo mengine yanayoendana na kipato ujue siku ukifilisika na make huna
Jambo la mwisho kwa leo make wa kuoa haonjwi jamani na nyie Dada zetu msijirahisi kuonjesha miili yenu hapo ndio mwanzo wa kuitwa Malaya maana utaonjwa na wangapi? Kila mmoja akikuonja mwisho wa siku zinamfikia mchumba mwingine ambaye huenda angeposa anaambiwa hata Audi alishaonja mzigo Leo mkuu niishie hapo nitendelea siku nyingine ili jamii ijifunze.
 
Vijana oeni mapema,ni muhimu sana kuoa not more than 25 yrs kwa m/me na mwanamke not more than 22.

Kwa umri huo kwanza mtafyatua fasta fasta ,umri huo hakuna compliations za ujauzito ,ukigusa tu imooo na akienda kujifungua fasta tu...Mpaka mkifika 30 mshamaliza uzazi...ilichobaki ni kulea.....Hadi mtoto anaanza kujitegemea wazazi wanakuwa < 45 bado wana nguvu na kuwapa vijana wao kujijenga na kutowategemea watoto.
 
Usiombe mtu akose upendo wa dhati, mshua wetu kapitia misala mingi sana na bado anavumilia.
 
Code:
4/ Usioe mwanamke uliyetafutiwa au kuunganishwa nae na rafiki yako au ndugu yako yeyote yule tofauti na Mama yako mzazi....... utanishukuru baadae.

Umesema kweli
 
Nawashauri vijana kwanza wabalishe tabia,kama wana tabia mbaya zote waziache kisha waanze kutafuta wenza wenye tabia nzuri.

Lingine vijana wawahi kuoa katika raha miongoni mwa raha za dunia ni kuoa mapema yaani katika umri mdogo.
"Lingine vijana wawahi kuoa katika raha miongoni mwa raha za dunia ni kuoa mapema yaani katika umri mdogo."

Una uhakika na hili?
 
"Lingine vijana wawahi kuoa katika raha miongoni mwa raha za dunia ni kuoa mapema yaani katika umri mdogo."

Una uhakika na hili?
Mimi shahidi wa hili. Nina uhakika wa "mia fil mia".
 
Mimi shahidi wa hili. Nina uhakika wa "mia fil mia".
Yaan kijana aoe ana miaka 25 mpaka kufika miaka 65 huko si atakua ashamchoka mkewe (watakua wamechokana)
Afu kibongobongo ,kijana wa miaka 25 either anaishi kwao au ndo anaanza maisha hana kazi ya kueleweka, kipato cha kuunga unga, n vp atalipa bills?
 
Mimi huwa tunagombana na mwenzangu ila uzuri hatununiani,maswala yetu bado hatujawahi kuita watu kutusuluhisha tunamalizana wenyewe...ila msije mkajidanganya ndoa is a paradise ni mixer ya paradise na hell kidogo kidogo kikubwa kubebeana madhaifu kusameheana ukiingia uwe na mentality ya Ndoa ni mtihani kama mtihani mwingine hutapata pressure...msitishwe na hizo picha wanapost insta wengi they fake....ndoa ingia ndani ndio utaielewa...
Wasichukulie mahusiano siriaz kiivo unless watakufa siku si zao
 
Ushauri ni kwamba, ukkuklsioe au kuolewa ikiwa hujamaliza ujana. Maliza kwanza ndiyo uingie ndoani.
Hakuna kitu kinauma kaoma usaliti,usaliti ndiyo chanzo cha ndoa nyingi kuharibika.
 
Ndoa ni mahusiano ya watu wawili actually mwanaume na mwanamke waliopendana, so kwakua kila mmoja wao amekua kwenye mazingira tofauti ni dhahiri kuna wkt watatofautiana kwenye mambo kadhaa cha msingi ni kwmba kabla hujaingia kwenye ndoa walau tengeneza mahusiano na huyo mwenzako yaani ifikie hatua unaona kwakweli huyu namuhitaji kimwili na kiroho muwe bonny n clyde. Then mkiingia kwenye ndoa hakikisha unaendeleza kufurahi nae, nenda nae places kuwa na vipindi vya prayers sometimes vya pamoja na usiache kula mzigo ahahahahah. Pia, hakikisha unatuliza mind kwenye maamuzi mbalimbali ya ishu zinazohusu familia na maendeleo yake aisee usipotuliza mind kwenye decisions utajikuta in big trouble sometimes though sometimes we learn the hard way. So ukiwa unamshirikisha spouse wako kwenye decisions zote za family na kama ulipatia kupata mwenza unaemhitaji utajikuta unaepuka mengi na hata kufanya mambo makubwa mengi. Kingine nenda vacation nae kuna magic sana kwenye vacation ila sio uende huku unawaza au kufanya mambo mengine yanayokua yanakufanya upo busy vacation na kumsahau mwenzako itakua haina maana.
 
Hainaga formula hiyo. Inategemea na tabia zenu wote wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…