Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Eti wew naye ni advocate
Ngoja nikwambie kuna vyuo ambavyo vina dahili wanafunzi cream wenye division one nzuri tu lkn hao hao wakifika law school wanagonga mwamba
Wakufunzi wa Law school most of them ndo hao hao waliowapika hao wanafunzi wakiwa vyuoni. Unakuta mtu ni lecturer UDSM at the same time ni lecturer wa Law school. Anasemaje wanafunzi hawakupikwa vzr wakati yeye ndo amewapika vyuoni?
Wakufunzi wa law school most of them wamesoma kwenye hvyo hvyo vyuo ambavyo wew unaviona sio bora. Wao wamepata ubora wao wapi?
Kuna walioko kwenye field ya sheria kwa miaka mingi kama mahakimu na ma lecturer wa vyuo mbalimbali wengine mpaka wana masters lkn wakifika LST wanadunda. Hiyo sheria inayofundishwa hapo inatoka mbinguni?
Law schools za nchi zingine kama Kenya na Uganda hakuna mass failure ya aina hii kwamba sisi ndo vilaza kuliko wenzetu?
Hata mtu aniweke kisu shingoni kwa pass ya wanafunzi 26 kati ya zaid ya wanafunzi 600 siwezi kushawishika kwamba eti tatizo liko kwa wanafunzi. Noooo. Ma lecturers wa nchi hii nawafahamu vzr ni wapenda sifa sana.
La mwisho liko hvi, kama wew ni mwalimu unafundisha wanafunzi alafu wanafeli mtihani wako kwa kiasi kikubwa hvyo that means huwa wanafunzi hawakuelewi achana na kazi ya kufundisha.