Adv. Bashir Yakub: Tatizo siyo Law School

Eti wew naye ni advocate

Ngoja nikwambie kuna vyuo ambavyo vina dahili wanafunzi cream wenye division one nzuri tu lkn hao hao wakifika law school wanagonga mwamba

Wakufunzi wa Law school most of them ndo hao hao waliowapika hao wanafunzi wakiwa vyuoni. Unakuta mtu ni lecturer UDSM at the same time ni lecturer wa Law school. Anasemaje wanafunzi hawakupikwa vzr wakati yeye ndo amewapika vyuoni?

Wakufunzi wa law school most of them wamesoma kwenye hvyo hvyo vyuo ambavyo wew unaviona sio bora. Wao wamepata ubora wao wapi?

Kuna walioko kwenye field ya sheria kwa miaka mingi kama mahakimu na ma lecturer wa vyuo mbalimbali wengine mpaka wana masters lkn wakifika LST wanadunda. Hiyo sheria inayofundishwa hapo inatoka mbinguni?

Law schools za nchi zingine kama Kenya na Uganda hakuna mass failure ya aina hii kwamba sisi ndo vilaza kuliko wenzetu?

Hata mtu aniweke kisu shingoni kwa pass ya wanafunzi 26 kati ya zaid ya wanafunzi 600 siwezi kushawishika kwamba eti tatizo liko kwa wanafunzi. Noooo. Ma lecturers wa nchi hii nawafahamu vzr ni wapenda sifa sana.

La mwisho liko hvi, kama wew ni mwalimu unafundisha wanafunzi alafu wanafeli mtihani wako kwa kiasi kikubwa hvyo that means huwa wanafunzi hawakuelewi achana na kazi ya kufundisha.
 
Umemgonga kisawasawa. Asante sana! Unaona naye eti ni Wakili, anatoa analysis ya kitoto.
 
Asante, Thomaaasss!
 
Haya kamati ya Dr Mwakyembe imeshaundwa na kupewa siku 30 waje na majibu, hakikisha unapeleka hizi hoja zako kwa kamati. Pia kamati ikija na majibu kwamba wanafunzi wa miaka hii ni vilaza ukubali matokeo.
 
Kiingereza hamjui acha kushupaza shingo. Hata Kiswahili fasaha tuu hamuwezi kuandika..
 
Mitihani yote itapitiwa maana jana waziri alitaka kuwapa waandishi wa habari matokeo ya hiyo mitihani ambapo kuna waliopata zero kabisa..
 
Na bado, watakutana na pepa za utumishi huku, wataenda kwa Mwalimu Ummy.
 
Huyo Bashir Yakubu hajapita Law school, NI toleo la wale waliofanya internship na kumaliza kwa bar exam kwahiyo asiongee chochote! Uhalisia ni kwamba wamaogopa competition from junior advocates cause wana uchu wa kufika mbali...nimekutana na senior advocates wengi wanapigwa P.O za ajabu ajabu na junior advocates
 
Ni kawaida mtu aliyevuka daraja kumuhofia mtu anayetaka kuvuka maana ni kikwazo kwake.
 
sio ivo uko vyuoni kuna paper unakutana nayo hata uingie na materials yako yote hutoboi,sijasoma sheria lakon najua kilicho wakuta
Na majibu yanakwepo ila ilo swali ukisoma unaona kuna majibu zaid ya matatu au sita ukisoma tena unaona majibu manne ukirudia tena unaona majibu mawili yote ni sahihi ila moja ndo sahihi, sa unakuta unashuka mwalimu anakulamba ziro hahahaa hao walipewa maswali ya mtego , yani swali linafinywangwa linageuzwa juu chini yani kuna key point mpaka uzifungue ndo unajuwa anataka ujibu nin plus kingereza kigumu
 
Mkuu umeongea point kubwa sana makubaliana na wewe hoja zako
 
Waswahili wanamsemo kuwa,
"usiangalie ulipo angukia, angalia ulipo jikwaa"

Kufeli kwa wanafunzi wa shule ya Sheria (Law School ) kunatokana na maandalizi mabovu katika vyuo vikuu ambapo wanapotoka wananfunzi mbalimbali.

Hivyo ni muhimu sana kwa vyuo vyetu vikuu vikawaandaa kikamilifu wanafunzi wanao maliza degree zao kabla hawajiunga na Law School.

Narudia kusema kuwa wanafunzi wa zama hizi hawataki kusoma kwa bidiiii, wengi wao wanataka mserereko......lengo wanataka ajira tu lakini kichwani weupee peeee.

Hili sio jambo hata la kuunda tume ni kupoteza muda na rasilimali bureeee.
 
Ngono +kutokujua kingereza
Hayo mambo mengine hayafai
 
Tazama law school wenyewe walichoandika, Unatarajia kuna kufaulisha hapa!!?
 

Attachments

Swali langu la msingi. Lakini hao hao walimu wanaowafundisha huko vyuoni wengi wao ndo hao hao walioko law of school. Je inakuaje Sasa lowama zinatupiwa wanafunzi tu. Hivi wanafunzi wakifeli lawama zinawaendea wao au zinaenda kwa walimu wao
 
Thread iendelee lakini haya majibu tunaomba yamfikie wakili Yakubu kama vile andiko lake lilivyofika hapa Badi haya majibu yamrudie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…