Adv. Bashir Yakub: Tatizo siyo Law School

umemaliza kila kitu:
1. Ulimbukeni kwa akina dada wanaotoka mkoani wakifika law school wanakutana na wanaume watoto wa mama[handsome], wanaishia vigesti vya sinza C.

2. Wengi hasa kutoka "vyuo vya kata" hawajui ki-zungu, lazma shule iwe ngumu.

3. Maswaloi ya Law School ni mepesi sana, ila yanahitaji kufikiri na practical, unakmkuta mwanafunzi hajui movies za kisheri, hajui historia ya sheria tanzania wala hata majaji hawajui, hamjui Mtikila wala precedents zake, yeye yupo INSTAGRAM hakuna page za maana alizozilow zaidi ya dawa za nguvu kiume, mitumba Og, Baa za jirani, na app za betting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…