Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Wewe ndiyo takataka. Hukustahili kuzaliwa kama mwana Tanganyika au Zanzibar . Miungano ya kulazimisha yalishavunjika yote. Yugoslavia iko wapi ? Senegal & Gambia (Senegambia) iko wapi. Ule muungano mkubwa wa USSR Urusi ya zamani iko wapi ?! Ni mambo kama haya yaliozivunja. Pengine ulikuwa bado mtoto.Kichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa Taifa
Wazanzibari kuuza mali za waTanganyika kwa namna ya kutapanya si sawa. Ccm siyo Tanzania ni kikundi cha watu wenye nia mbaya na rasilimali za nchi hii. Bora hata Nyerere alikuwa mzalendo siyo hawa waliofuata.