Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

ukiwa na kesi hata ndogo sana ukimpa mwanasheria huyu unafungwa
 
Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
DPW iendelee![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ccm_mtandaoni_20230709_1.jpg
 
Ila Wakuu to be honest,PM Majaliwa ni muongo muongo sana alafu anapenda kuficha udhaifu wake kwa kuunda vikamati uchwara.Huyu anapaswa apumzishwe kwa sasa!
Huyo katelephone aliunda kamati ya kuchunguza ajali ya tank lililowaka moto Msamvu Morogoro mpaka leo hii hatujui hatima yake
 
Huyo katelephone aliunda kamati ya kuchunguza ajali ya tank lililowaka moto Msamvu Morogoro mpaka leo hii hatujui hatima yake
Kuna ya kuungua soko la Kariakoo na sasa kaunda kamati ya masuala ya kodi baada ya mgomo wa Kariakoo.Lakini watu wa Lindi ni wafitini na waongo sana.Nimeshafanya nao kazi sehemu kadhaa!
 
Kuna ya kuungua soko la Kariakoo na sasa kaunda kamati ya masuala ya kodi baada ya mgomo wa Kariakoo.Lakini watu wa Lindi ni wafitini na waongo sana.Nimeshafanya nao kazi sehemu kadhaa!
Ila huyo Mwabukusi ni mtu na nusu Tulia akimkimbia sugu atakakokuwa atakutana na huyo mwamba
 
Back
Top Bottom