Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Wewe ndiyo takataka. Hukustahili kuzaliwa kama mwana Tanganyika au Zanzibar . Miungano ya kulazimisha yalishavunjika yote. Yugoslavia iko wapi ? Senegal & Gambia (Senegambia) iko wapi. Ule muungano mkubwa wa USSR Urusi ya zamani iko wapi ?! Ni mambo kama haya yaliozivunja. Pengine ulikuwa bado mtoto.Kichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa Taifa
Kuandika kwenyewe hujui nawe unajiita Great Thinker,Nchi hii MACHOKO kama wewe hawawezi kwishaKichwa gani taka taka hiyo hivi ww unajua dhambi ya utengano unazani tutakuwa paxuri mtu yoyote anayepinga muungano huyo ni msaliti wa Taifa
Huyu Mwabukusi kachanganyikiwa, madeni ya huko mahakamani yamemjaa mpaka shingoni. Kila akifungua kesi inaangukia pua. Alishindwa dhidi ya Mwakibete mbunge wa sasa na anakwenda kushindwa dhidi ya serikali suala la bandari.
Amejaribu kuitangaza video yake ya nje ya mahakama ili wafadhili wamkumbuke kwenye ufalme wao, hizo ni jitihada za mwisho mwisho kabla jahazi halijazama kabisa.
Dah!Huyu Mwabukusi kachanganyikiwa, madeni ya huko mahakamani yamemjaa mpaka shingoni. Kila akifungua kesi inaangukia pua. Alishindwa dhidi ya Mwakibete mbunge wa sasa na anakwenda kushindwa dhidi ya serikali suala la bandari.
Amejaribu kuitangaza video yake ya nje ya mahakama ili wafadhili wamkumbuke kwenye ufalme wao, hizo ni jitihada za mwisho mwisho kabla jahazi halijazama kabisa.
Nilichojifunza mimi ni kuwa kuna makundi yanayopigania maslahi yao na kuna kundi linalotetea uzima na uhai wa nchi yetu na watu wake wote bila kujali matabaka yaliyomo ndani ya nchi..Hii ngoma ya Bandari imenisaidia sana kujua muelekeo wa Siasa zetu kuelekea 2025 na makundi yanayofaidi kodi, yanayofaidi kiwango cha chini kuliko matarajio yao, makundi yenye mlengo wa kidini, makundi yanayotafuta kujulikana kwa malengo mengine n.k
pia wapo wachache waliojikita kwny hoja tu bila ya kashfa wala kubeza mf.Prof Shivji
A iwe A.Adv. nimetokea kumwelewa sana, hii nchi ina vichwa vya kutosha kutuondoa kwenye mkwamo wa kifikra tuliomo, tatizo maamuzi yamehodhiwa na kikundi cha wachache, walafi wa madaraka, wajinga wasiojua wanapotupeleka, na waliokata tamaa.
Huu ni wakati wa kuwaamsha, na kuwaambia ukweli, vitisho vyao havina maana yoyote.
MhhhWatanganyika tulibakwa ndoa ya utotoni by Mwambukusi
Mtaipata huku mitandaoniTunataka bandari zetu
Mtaishia humu humu nyuma ya keyboardAdv. nimetokea kumwelewa sana, hii nchi ina vichwa vya kutosha kutuondoa kwenye mkwamo wa kifikra tuliomo, tatizo maamuzi yamehodhiwa na kikundi cha wachache, walafi wa madaraka, wajinga wasiojua wanapotupeleka, na waliokata tamaa.
Huu ni wakati wa kuwaamsha, na kuwaambia ukweli, vitisho vyao havina maana yoyote.
Haziwahusu!
Loh!Unajuaje Kama hajatumwa na Mungu?
Huyo ni mshamba fulani tu hivi.Huyu Mwabukusi kachanganyikiwa, madeni ya huko mahakamani yamemjaa mpaka shingoni. Kila akifungua kesi inaangukia pua. Alishindwa dhidi ya Mwakibete mbunge wa sasa na anakwenda kushindwa dhidi ya serikali suala la bandari.
Amejaribu kuitangaza video yake ya nje ya mahakama ili wafadhili wamkumbuke kwenye ufalme wao, hizo ni jitihada za mwisho mwisho kabla jahazi halijazama kabisa.