Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwa mimi niliyeisoma Phyz wote walivyochangia inadhihirisha wamewahi kuisomaNi rahisi sana we chunguza katika maandishi yao.
Hahitaji kuusoma Advances physics kujua mkweli ama muongo.
We chunguza tu mkuu utaona.