Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
- Thread starter
- #281
Mkuu bora ulivyoenda PCB kuikimbia Physics ya PCM maana ile ni shida.HahahahahahEnzi hizo baba yangu alikua anataka nije kua doctor, akanipeleka kuniandikisha F.5 hata kabla serikali haijatoa selection za shule zake (nilikua na div. 1) F.4
Kufika akaniregister kusoma PCB(Shule 1 hivi ya private) ,nilisoma mwezi mzima hiyo physics naona nyota nyota tu nikaamua kuhamia PCB.
Mpaka namaliza Advance mzee anajua nipo PCB kumbe fizikia ilinipiga hat trick mapema tu.