Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Hahahahah shule yenyew O-level tulkuwa tunagonga Engineering Science badala ya Physics.....so ulikuwa ukichaguliwa Iyunga advance kama ulkotoka ulkuwa unabahatisha hakuna muujiza wa kutoboa.....ukigeuka kushoto unakutana na LE MUTUZ la Chemistry....Mr. SUDI.....***** mzee ana roho mbaya huyo.....kinyama.....

Umenkumbusha mbali sana kwa IYUNGA......
Sudi alikuwa mkoma kinoma,bora Dopra

Ila chemistry niliishika pabaya ma math sio mnyama physics sina hamu nae mpk leo
 
1: Hivi kati ya pure mathematics na Advanced physics lipi somo gumu???
2: kwanini Hesabu ndo inaonekana ni somo gumu zaidi (ugonjwa wa taifa) na sio physics???
Hakuna somo rahisi dunia kama math ikifwatiwa na chemist
 
Mkuuuu niseme test ya kwanza ya phy nilipata 28 ya 100.

Kusoma PCM PCB PGM ,alafu uliingia bila twiti ,Phy atabaki kua mchawi anaywhitaj dawa madhubuti
nyie watoto wa Sikh hizi, .com sisi enzi hizo in Nelkon na UP, hakuna swali lilikatiza bila kuchambuliwa kama karanga
 
Phisics noma, kama mtu hajiwezi hesabu wala asihangaike na Phisics advance ataumbuka
 
nakumbuka kitu fluid mechanics,wave simple hamonics,mengine nishasahauu
 
topic zingine nimekuja kuzielewa chuo na kushuhudia ni jins gan advance nilikuwa kilaza

Surface tension,fluid mechanics,magnetism,electrical pamoja na electonics chuo ndio nikazielewa

Advance nilikuwa nameza tuu nadhan

Advancs
 
Sijielewi bado. Sema nitaanza kwanza na CPA halafu nikamalizie kwingine.

CPA napo kuna mziki wa Cost,MA..... etc afu kama mtu hauna background nzur ya account CPA ngumu !!!! mie nakomaa na masters finance mambo mengine yatajipa mbele kwa mbele
 
CPA napo kuna mziki wa Cost,MA..... etc afu kama mtu hauna background nzur ya account CPA ngumu !!!! mie nakomaa na masters finance mambo mengine yatajipa mbele kwa mbele
Kuna mtu mmoja alinambia fanya CPA nkamjibu let me go for masters then later ntafanya CPA when am free.
 
CPA napo kuna mziki wa Cost,MA..... etc afu kama mtu hauna background nzur ya account CPA ngumu !!!! mie nakomaa na masters finance mambo mengine yatajipa mbele kwa mbele
Speaking of MA kipind nafanya bachelor nakumbuka niliweza kujibu maswal matatu kwa ufasaha mengne yote nilibak nayashangaa tu nilisema nispokula sup hil somo sjui
 
Kabisa unaweza jikuta 5yrs unatafuta CPA but masters 2yrs kugraduate uhakika....
Yah ile elimu ya vile nilikataa nkamuacha na CPA yake ambayo mpka leo hajagraduate nakumbuka nilimwambia ntakukuta hujamaliza cpa kipnd nmeshamaliza masters
 
Speaking of MA kipind nafanya bachelor nakumbuka niliweza kujibu maswal matatu kwa ufasaha mengne yote nilibak nayashangaa tu nilisema nispokula sup hil somo sjui

Hahahahaha mimi sitak kukumbuka kabisa hayo masomo nmekunywa sup kiroho safi tuu ..... cha ajabu mda wa sup ndo nikaanza kuyaelewa
 
Hizo mligusagusa sema mlikuwa mkija advance mnakuwa na idea ambayo haiwezi kutembeza maswali ya advance mpaka uanze upya maana tumekutana advance na watu wa technical schools, mwanzoni wanakutisha ila mambo yanavozidi kukolea wanapoa tu
Kwenye engineering science ni intro na wala haisaidii kwenye matango ya advance. Ni sawa tu na practicals, kwenye engineering science hakuna practical kabisa ila tukikutana a level tunaisoma namba sawa tu. Mi nilizijua pendulum na metre bridge nikiwa a level lakini wote tulihenya sawa tu na waliofanya wakiwa o level
 
Back
Top Bottom