Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Hahaaa advance kazi yangu ilikua ni kukariri page za vitabu na maswali+majibu yake kwenye page husika...
Kwahio mtu akiniletea swali namtajia page alipolitoa halafu namtajia jibu kwa mbwembwe mwisho na swali linanishinda..
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila physics ni shida sana.
 
Aiseeee S.chand alikuwa vitabu vizur saaana yaani vimeelezewa vizur na kama hujaelewa topic chand lazima uelewe sio kama mavitabu ya wazungu .....chand ya math mzee aliliwa pesa yake tuu hakuna kitu mule ..... nilivyogundua hivyo tu nikakiuzwa fasta nikababiwa na phy ,chem .
Ndio, unasoma na kuelewa bila mwalimu.
Mifano mingi sana, maswali na self test kila topic.
Halafu katumia lugha rahisi.
 
Chand kilikua vizuri kwenye conceptual questions ila calculation si sana

Yeah calculation hayupo vizur .......Chand ya math ndo hamna kitu kabisa tena chand I ni uchafu mtupu inshort ni kama hesabu za form 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hili ndio somo gumu duniani

Mtihan Wa kwanza test nilikua 7%

Sina hamu Mimi ikabd niulize HV chuo hakuna coz wanachukua ukipasua math na chemist na physics ateast sub nikipata

So mpk mie physics kwa malengo nikale e ikatosha

Walikomaa NAyo waliisoma nimber
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ila physics ni shida sana.
Mkuu physics ni habari nyingine...mwaka 2013 TO alikuwa na C ya physics sasa imagine wenzangu na mimi walipata ngapi??

Yan kuna topic kama hio mtoa maada aliyosema projectile yaani kuisoma class mnatumia vipindi viwili tu lkn mziki wa maswali unaweza kuhama combi[emoji23] [emoji23]
 
Yeah calculation hayupo vizur .......Chand ya math ndo hamna kitu kabisa tena chand I ni uchafu mtupu inshort ni kama hesabu za form 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuwahi kuvitumia wakati nasoma. Nimesoma kitabu chake cha kemia naona kiko vizuri, unaelewa kirahisi tofauti na vitabu vya wazungu.
Makosa madogomadogo yapo.
 
Hahaaa advance kazi yangu ilikua ni kukariri page za vitabu na maswali+majibu yake kwenye page husika...
Kwahio mtu akiniletea swali namtajia page alipolitoa halafu namtajia jibu kwa mbwembwe mwisho na swali linanishinda..

Hahahahahaha umenikumbusha mbali sikumbuk kat ya olevel ama adv kwenye kuna baadh ya topic nilikuwa sijamaster basi swali likija nikawa naderive formula tuu na nilikuwa napenda saana kuderive yaani kila formula sijui equation lazima niijue derivation yake ........ swali silijui mi na derive formula yake mchezo umeishia hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Au swali likiwa gum unaandika data na kudrive ka formula then unaliacha unasubili maksi yako 1 ya data na formula[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Basi haki yangu kupata E. Shule niliyoenda advance sisi ndo tulikua PCM wa kwanza. Hamna walimu hamna lab hamna chochote. Walimu walikua ni wa O level. Bila kukomaa na tuition na umakini wa nisicheze na hela ya mama ningezungusha zero kubwa tu. Ila PCM sisomi hata iweje. Niko radhi nikasome PhD ila PCM sirudi. Kwanza hata kupata E ilikua miujiza tu.
[emoji3] [emoji3] labda practical iliokoa jahazi. Mimi sikuwahi kusoma tuition maishani mwangu halafu mwl wa physcs akatufundisha measurement na mechanics tu. Alikuwa na sauti ya chini hamna anaemuelewa ukisema hujaelewa unaambiwa kanywe maji[emoji1] [emoji1] .

Biology tulikuwa na mwl crazy akija class anafundisha vinavyomjia kichwani tu.

Chemistry kidogo tulisoma vizuri ila kuna maswali ya physical chemistry yamepinda[emoji125], elimu ya bongo ni kukariri tu hamna kitu.
 
Uelewe we nani kwa mfano. Unakariri ukajibie mtaani utaelewa baadae huko.
 
Nikipata hela nitarudi shule. Hakuna kinachonishinda darasani.

Hongera mzigua yaani hadi unamawazo ya kurudi tena ........wakina sie tulishakata miguu yaani hapa hata baadhi topic sizikumbuki inshort nimeshalevya na mambo finance hata nikirud shule ni humo humo tu najisikia raha kuisoma pesa!!!
 
Mkuu physics ni habari nyingine...mwaka 2013 TO alikuwa na C ya physics sasa imagine wenzangu na mimi walipata ngapi??

Yan kuna topic kama hio mtoa maada aliyosema projectile yaani kuisoma class mnatumia vipindi viwili tu lkn mziki wa maswali unaweza kuhama combi[emoji23] [emoji23]
Kwakweli physics ni shida mimi practical ilinisaidia kwa kiasi chake.
 
Hongera mzigua yaani hadi unamawazo ya kurudi tena ........wakina sie tulishakata miguu yaani hapa hata baadhi topic sizikumbuki inshort nimeshalevya na mambo finance hata nikirud shule ni humo humo tu najisikia raha kuisoma pesa!!!
Sijielewi bado. Sema nitaanza kwanza na CPA halafu nikamalizie kwingine.
 
Hongera mzigua yaani hadi unamawazo ya kurudi tena ........wakina sie tulishakata miguu yaani hapa hata baadhi topic sizikumbuki inshort nimeshalevya na mambo finance hata nikirud shule ni humo humo tu najisikia raha kuisoma pesa!!!
Pesa ndo mpango mzima.
 
Sikuwahi kuvitumia wakati nasoma. Nimesoma kitabu chake cha kemia naona kiko vizuri, unaelewa kirahisi tofauti na vitabu vya wazungu.
Makosa madogomadogo yapo.

Eeeeeeh afu ukutane na akina lambart sijui vingine hadi nmeshahau majina ..... mzungu kwanza vocabulary zao ngumu.
 
Back
Top Bottom