Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Duh kwahyo PCM Uliachana nayo o levelMimi form One nilijua ntachukua science subjects tena PCM yan nilikua naelewa na nafaulu vzr , ila kadri nilivokua napanda vidato , ndoto nazo zilianza kuyeyuka taratibu mpk kufikia kusoma Arts subjects A level tena kwa hyari yangu mwenyewe bila shikizo kutoka kwa mtu yeyote hahaaa. Baada ya kuona Physics ni motoo haipandi kabisa
Uliiacha mapema sana aisee ila sometimes ni bora kutafuta right way mapema kuliko kusubr worse stage
Mie after advance kusoma vile nkasema hapana aisee a can't take it anymore nikaingia kwenye finance maisha murua