Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Hii itakuwa ni ya juzi hapa, na hawa ni wa juzi. Hata hivi vitabu vya Chand ni vya hivi karibuni
Umeona eee, ngoma University Physics na Universal Physics hivi vitabu vilikuwa balaa!! Yote 9, ngoma za A-level huwa zinadatisha hatari kama kichwa kiko waruwaru!
 
Namkumbuka mwalimu wangu wa physics mwakanyamale alifanye nilipende sana somo hili, hakika alikuwa vzr sana
Nasikia alikua mtabe kwenye physics . Sisi vijana wa dot com hatujamuinjoi kwa maana enzi zetu alikua mkuu wa shule. Bila shaka mkuu utakua mwanakiungani
 
Historia yang ya physics inaanzia form two ni baada ya kupata 09/100 kweny mtihani,nilishindwa kudefine hata velocity daah i was soo dumb. MUNGU si athuman pepa ya taifa nikala C.. Necta form four nikala C tena kwa kuhahangaika sana. Kasheshe likaja advance kudadeki... Sitak hata kukumbuka, adv yote sikuwahi kuvuka hata 40 nakomaa lakin wap nikaona jumba bovu litaniangukia. Nikakomaa na biology na chem MUNGU mkubwa akanisaidia nikafaulu ingawa phy nilikula E! Ilikuwa mwendo wa kukariri tuu ntaelewa uzeeni!
Hongereni mliokuwa mnapata mabanda ya physics!
 
The chosen ones ndio walikua wanapiga mabanda.
 
  • Thanks
Reactions: Gru
Physics ni SOMO la heshimaa aisee... Enzi hizo nipo PCB nilikuwa naisoma sanaa ilaa Kwenyr paper ni balaaaa unachezea 20..30 yani mpaka nkaona ndo Maisha yangu ilaa NECTA mwisho wa siku nkapata B+ nlitamani niwafate Nkawaambie Ebu Nionyesheni Paper langu la PHYSICS maana sijawahi Pata paper yangu yenye MARKS kubwa kamaa hizi A level yote..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] PHYSICS MWANAUMEEEE
 
Uzuri kwenye huu uzi

Kila mmoja anajipambanua kuwa kasoma physics.

Ila kiukweli nusu yao wachangiaji humu hawajasoma physics wanaishia kutaja tu aaa mara physics ngumu mara nini....!!

Kuna watu wanashinda humu mchana kutwa usiku kucha unajiuliza huyu hiyo physics alisoma lini na kama aliisoma???anafanya kazi saa ngapi???.

Jamani tuacheni drama na ku pretend

Ni hayo tu kwa sasa.
Sasa kama ni mwalimu anakosaje huo muda
 
Back
Top Bottom