ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Hahahaha aise hii kitu balaa,Mimi nilipiga tuition nikaanza na projectile baada ya wiki nikaanza kukwepa vipindi na topic ilikua ni 20 Amber center.Baada ya kujitathimini nilienda arts hadi leo baadhi ya watu hawaamini kama nilisomaga arts.Magnetism mpka naondoka adv, sija wahi igusa !
Wave , electronic, modern physcics, heat, ndo zilikuwa topic zangu,
Mungu si athumani
Nikapata F ,